Photographers' Corner

Najua nimechelewa ila hii picha ilikuwa ya kuagia mwezi uliopita.
tumblr_lsde45r9TU1qkc778o1_1280.jpg

Goodbye September I hardly Knew You.
September whizzed by and gone-to-soon
 
a journey to Kilindi via Kiteto
View attachment 36472View attachment 36473View attachment 36474View attachment 36475View attachment 36476
Barabara za huku zipo hivi.Hii ni kiteto mjin(KIBAYA)wilaya bado ipo nyuma kimaendeleo,hapa ndo stendi,ukiacha ofsi za serikali,hakuna kingine
Safari ikaendelea
View attachment 36477View attachment 36478View attachment 36479View attachment 36480View attachment 36481
Barabara ya huko ipo hivyo,inakatisha tamaa,maana unaweza kuona umbali uliobaki,cha ajabu kutoka Kibaya hadi kijiji kingine ni kilomita 70.So tatizo la kiufundi likikupata katikat hapo,ni tatizo maana hakuna msaada,Matatizo ya maji ni mambo ya kawaida huku
HATIMAYE BAADA YA MASAA KADHAA,HII NDIO KILINDI,NAAMINI SI WOTE WANAOIFAHAMU,SO YOU CAN GET A PICTURE OF IT
View attachment 36482View attachment 36483View attachment 36484View attachment 36485View attachment 36486
MJI WA KILINDI UPO HIVYO,MABONDE NA MIINUKO,KUTOKA HAPOA HADI HANDENI NI ALMOST MASAA 4,WAKAZI WA HAPA WANAJISHULISHA NA MAMBO MENGI LIKIWEMO UUZAJI WA TUMBAKU KAMA HAO HAPO

Mkiambiwa msipigie kura CCM hamsikii, endeleeni kula vumbi na kukosa maji huku walikopigia kura upinzani wanatengenezewa barabara za lami na maji ya kumwaga. CCM haijishughulishe sana na majimbo yake kwani wali unawatosha bali inahangaika sana kwenye majimbo ya upinzani kwani wanawakaba koo na kuwatolea macho kila sekunde.
 
Hapa tutakuwa tunashare picha tulizopiga au picha zilizopigwa na wapiga picha wengine ila zimetuvutia. Ikiwezekana vile vile tutakuwa tunaweka tips jinsi gani tumepiga picha, post processing etc etc.

Tukiweka picha za wapiga picha wengine tujaribu kuweka source na jina la mpiga picha.

daressalaam-1.jpg

Hii picha ilipigwa maeneo ya Kigamboni kutoka kwenye boti la kuelekea Zanzibar.

nimeipenda tena hicho kijina hapo juu kilivyomatch ni noma..
 
In Ngorongoro and Loliondo!!
 
Attachments

  • Buffalo Camp1.jpg
    Buffalo Camp1.jpg
    1.3 MB · Views: 140
  • Buffalo Camp2.jpg
    Buffalo Camp2.jpg
    1.3 MB · Views: 136
  • Serena View2.jpg
    Serena View2.jpg
    390.4 KB · Views: 132
Mkiambiwa msipigie kura CCM hamsikii, endeleeni kula vumbi na kukosa maji huku walikopigia kura upinzani wanatengenezewa barabara za lami na maji ya kumwaga. CCM haijishughulishe sana na majimbo yake kwani wali unawatosha bali inahangaika sana kwenye majimbo ya upinzani kwani wanawakaba koo na kuwatolea macho kila sekunde.
wananchi wa huko hiyo tabu wanayoipata ni haki yao kabisa-
they had decision in their hands
 
Jumamosi iliyopita - doing somework at OU

yanayoonekana upande huo ni mabweni

ou-visiting.jpg

ou-mabweni.jpg

Ou-kuelekea maofisi.jpg

Unaweza kuona sehemu niliyokuwa nimesimama nikichukua hizo picha mbili za kwanza.
 
Places in Babati....
 
Attachments

  • Mto.jpg
    Mto.jpg
    1.2 MB · Views: 171
  • Msitu3.jpg
    Msitu3.jpg
    918.2 KB · Views: 165
  • Msitu2.jpg
    Msitu2.jpg
    933.2 KB · Views: 172
  • Msitu.jpg
    Msitu.jpg
    797.6 KB · Views: 182
  • Ziwa Babati.jpg
    Ziwa Babati.jpg
    421 KB · Views: 186
  • Ziwa Babati2.jpg
    Ziwa Babati2.jpg
    639.1 KB · Views: 212
  • Babati.jpg
    Babati.jpg
    385.7 KB · Views: 153
  • Babati3.jpg
    Babati3.jpg
    1.5 MB · Views: 167
He
msitu.jpg

Hii imepigwa kutoka kwenye chopper kwenye misitu ya congo...DRC...U can see natural resources ambayo wanayo hawa jamaa.
he kaka umenikumbusha hii misitu ya DRC inatisha inakuwa kama vile uko kwenye ndege unakatisha bahari kwenda bara jingine,nilikuwa naenda Angola tukapita hizo anga du ni ajabu unaenda mpaka unashau nikajiulize kama kitu kitaporomoka hapa si tutakuwa tu chakula cha mafisi na hakuna atakayefika hata kuchukua mabaki
 
Kaka uku ni balaa...Ndege ikianguka ni hard to trace...na watu kutoka hai ni 0.001% kwani miiti ni mingi sana na hali ya hewa huwa inabadilika sana.
 
msitu.jpg

Hii imepigwa kutoka kwenye chopper kwenye misitu ya congo...DRC...U can see natural resources ambayo wanayo hawa jamaa.
kwanini tunafeli kwenye uongozi wa hizi serikali zetu? uchumi mnao mnaukalia.Nalog off
 
Back
Top Bottom