Philip Mulugo ataka goigoi wa kuchangia maendeleo wakamatwe

Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
10,394
17,995
Mwananchi, 29/ 02/ 2012 uk 11

Mbunge wa Jimbo la Songwe Philip Mulugo ambaye pia ni naibu waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, amewataka watendaji kata na vijiji kuwakamatana kuwaweka ndani wananchi wanaokataakuchangia ujenzi wa vyumba vya madarasa nanyumba za waalimu.

My take:
Je huyu naibu waziri anajua kuwa nchi hii inatawaliwa kisheria?. Na ukiisha mshika huyo mwananchi aliyekataa kuchangia maendeleo utamshataki kwa kifungu gani
 
Huyu Philip Mulugo tulishamjadili sana humu JF n a tukaona ni kanjanja tu wa elimu. Performance yake ni mediocre na ni mzigo kwa Serikali ya JK. Cha ajabu watu mediocre wanapenda sana publicity ya vyombo vya habari.
 
Mwananchi, 29/ 02/ 2012 uk 11

Mbunge wa Jimbo la Songwe Philip Mulugo ambaye pia ni naibu waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, amewataka watendaji kata na vijiji kuwakamatana kuwaweka ndani wananchi wanaokataakuchangia ujenzi wa vyumba vya madarasa nanyumba za waalimu.

My take:
Je huyu naibu waziri anajua kuwa nchi hii inatawaliwa kisheria?. Na ukiisha mshika huyo mwananchi aliyekataa kuchangia maendeleo utamshataki kwa kifungu gani

(xi) decommissioning.Mi hii mijamaasiielewagi kabisa, kwanza kwanini uwalazimishe watu kuchangia, kwa chanzo kipicha mapato walichowakikishia? haya majamaa yanakimbia majukumu na kuwasukumiawananchi. Wanakijiji wanatoa wapi hela ya kulazimishana. kama wanayo si wanatoatu kiroho safi! maeneo yenye migodi hata madawati hakuna. Hawa jamaawa%^&&***** kabisa
 
Mfumo wa utawala tulio nao una-award mediocrity and sycophancy!
Msipige sana kelele.
 
Hapana huyu Naibu amekithiri kila uchao yeye ni mtu wa kutema pumba tu, hana hata wasaidizi wa kumuandalia hotuba.
 
Back
Top Bottom