PhD za zawadi kwa viongozi wetu wakuu

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,606
29,754
Ninaweka mtazamo wenye mjadala ndani yake. Ninawaomba wananzengo msiugeuze mjadala kuwa eneo la dhihaka bali tuliangalie hili jambo kwa macho mawili.

Baba wa Taifa pamoja na kuwa busy sana kuliko waliomfuatia aliweza kuandika hotuba zake na hata kuchapisha vitabu vingi kuliko marais wote Africa. Alikuwa pia anatoa makala keenye magazeti na majarida mbalimbali.

Marais waluofuatia baada ya Mwalimu walichoweza kuandika labda ni CV zao kwani walisaidiwa kila kitu na wasaidizi wao.

Kuna utamaduni umeanzishwa Tanzania na baadhi ya nchi za Africa ambapo taasisi za elimu ya juu zimekuwa zikiwatunuku shahada za Uzamivu viongozi wakuu wa nchi. Sababu ama merits zinazotumika kuwahalalishia ni mafanikio kwenye eneo la uchumi au maendeleo. Lakini ukifanya tathmini ndogo utagundua nchi zao hazipo hata kwenye uchumi wa kati kwa maana nyingine wapo katika umaskini wa kutupwa.

Kuna maswali kadhaa ya kujiuliza;

  1. Jopo la Wanazuoni wanaopitisha hizo shahada kwa viongozi wakuu, huwa wanajiona wapo sahihi kulazimisha taswira isiyo na ukweli iambatane na sifa za PhD?
  2. Je, hii inawezekana ni muendelezo wa rushwa ndani ya sekta ya elimu? Yaani wasomi wanajipendekeza wakumbukwe na mtawala kupitia recognitions za shahada ya uzamivu bila vigezo vitakiwavyo?
  3. Inawezekana sasa tuamini kwamba hali yetu mbaya kiuchumi na kisiasa ni usaliti wa wakufunzi wetu wanaowaandaa wasomi ambao hushindwa kuitumia elimu yao kwa maslahi ya nchi?
  4. Vipi kuhusu unafiki?
Una mtazamo gani kuhusu hili?
 
Ninaweka mtazamo wenye mjadala ndani yake. Ninawaomba wananzengo msiugeuze mjadala kuwa eneo la dhihaka bali tuliangalie hili jambo kwa macho mawili

Baba wa Taifa pamoja na kuwa busy sana kuliko waliomfuatia aliweza kuandika hotuba zake na hata kuchapisha vitabu vingi kuliko marais wote Africa. Alikuwa pia anatoa makala keenye magazeti na majarida mbalimbali

Kuna maswali kadhaa ya kujiuliza

  2. Je hii inawezekana ni muendelezo wa rushwa ndani ya sekta ya elimu? Yaani wasomi wanajipendekeza wakumbukwe na mtawala kupitia recognitions za shahada ya uzamivu bila vigezo vitakiwavyo?

"If you can't chase them, please join them."

I don't mean to influence you at the praises joining teams to the Country Leaders, but the notion is too wide in meaningful, so insure that your mind sets are very clearly scheduled to recognize it senses...
 
MWENYEZI MUNGU humpa kila MTU anachostahili na huwa sio kusudio la WALIMWENGU.

Kama unastahili UBALOZI WA NYUMBA KUMI! Hiyo NAFASI ni yako na hapaswi MTU yoyote kukuonea DONGE.

Kama unastahili NAFASI YA URAIS! Hiyo pia NAFASI ni yako na hapaswi MTU yoyote kukuonea DONGE, kwa sababu kuna baadhi ya WATU walizaliwa ili kuongoza na kuwa MSAADA kwa WATU wengine.

Kama unastahili SHAHADA YA UZAMIVU, hiyo pia ni yako na hapaswi MTU yoyote kukuonea DONGE.

Hiyo ndio kanuni ya MAISHA! Aliyepewa kapewa na asiye kuwa na BAHATI hata akiokota KITU ataambiwa ameiba. Upo hapo.. 🙏🏿🙏🏿
 
Kutunukiwa PhD ya heshima ni sawa kulingana na waliokutunukia, ila kuitumia kama mojawapo ya sifa kwenye wadhifa alionao mtunukiwa huo ni udhaifu na kujihisi kutotoshea kwenye nafasi husika.
Naona sasa hivi vyombo vya habari vinaandika na kusema Rais Dkt Samia inapaswa iwe Rais Samia (PHD Hon Causa).
Honorary degree haitumiki kwenye title lakini Huwa kidogo inashangaza na huenda ni maelekezo kama kawaida kwani ni viongozi wawili tu duniani wameanza kuitulia Honorary doctorate kwenye tittle kwa kuitwa Dr na wapo hapa Tanzania na hawakemei Hilo huenda na wao wanakubali.

Huwezi kusikia Dr Nyerere licha ya kwamba ndio mwenye Honorary Doctorate nyingi zaidi Wala huwezi kusikia Dr Mkapa Wala Dr Ali Hasssan Mwinyi.

Huenda machawa wameanza kufanya vitu mpaka vinaharibu kabisa sasa Ili tu wapate mkate wao.

Inashangaza hata vyombo vya habari vya kuaminika hapa nchini vinaadress hivyohivyo .
 
Wachina wao walipitiliza. Walimpa Jakaya Uprofesa wa heshima🤣🤣🤣

Sijui kwa nini Jakaya hajiiti Profesa Jakaya Kikwete

Kwa hali ilipofikia kila Rais wa Tanzania atatamani apewe Udaktari wa heshima kwa sababu wanajiona bila kuwa na PhD hawawezi leta maendeleo Tanzania.

Ili kuondoa huu ujinga viongozi wa vyuo vikuu wasiteuliwe na Rais wa JMT hasa vyuo vya umma. Hawa viongozi wanaona nafasi zao zipo hatarini wasipotoa hizo PhD za kujikomba kwa viongozi hasa rais....ni muendelezo wa ujinga wa Mtanzania
 
IMG_3830.jpg

Kwa mujibu wa maelezo juu hapo haitakiwi someka kama dk samia.
 
Naona sasa hivi vyombo vya habari vinaandika na kusema Rais Dkt Samia inapaswa iwe Rais Samia (PHD Hon Causa).
Honorary degree haitumiki kwenye title lakini Huwa kidogo inashangaza na huenda ni maelekezo kama kawaida kwani ni viongozi wawili tu duniani wameanza kuitulia Honorary doctorate kwenye tittle kwa kuitwa Dr na wapo hapa Tanzania na hawakemei Hilo huenda na wao wanakubali.

Huwezi kusikia Dr Nyerere licha ya kwamba ndio mwenye Honorary Doctorate nyingi zaidi Wala huwezi kusikia Dr Mkapa Wala Dr Ali Hasssan Mwinyi.

Huenda machawa wameanza kufanya vitu mpaka vinaharibu kabisa sasa Ili tu wapate mkate wao.

Inashangaza hata vyombo vya habari vya kuaminika hapa nchini vinaadress hivyohivyo .
Ngoja nifanye utafiti mdogo
 
Ninaweka mtazamo wenye mjadala ndani yake. Ninawaomba wananzengo msiugeuze mjadala kuwa eneo la dhihaka bali tuliangalie hili jambo kwa macho mawili.

Baba wa Taifa pamoja na kuwa busy sana kuliko waliomfuatia aliweza kuandika hotuba zake na hata kuchapisha vitabu vingi kuliko marais wote Africa. Alikuwa pia anatoa makala keenye magazeti na majarida mbalimbali.

Marais waluofuatia baada ya Mwalimu walichoweza kuandika labda ni CV zao kwani walisaidiwa kila kitu na wasaidizi wao.

Kuna utamaduni umeanzishwa Tanzania na baadhi ya nchi za Africa ambapo taasisi za elimu ya juu zimekuwa zikiwatunuku shahada za Uzamivu viongozi wakuu wa nchi. Sababu ama merits zinazotumika kuwahalalishia ni mafanikio kwenye eneo la uchumi au maendeleo. Lakini ukifanya tathmini ndogo utagundua nchi zao hazipo hata kwenye uchumi wa kati kwa maana nyingine wapo katika umaskini wa kutupwa.

Kuna maswali kadhaa ya kujiuliza;

  1. Jopo la Wanazuoni wanaopitisha hizo shahada kwa viongozi wakuu, huwa wanajiona wapo sahihi kulazimisha taswira isiyo na ukweli iambatane na sifa za PhD?
  2. Je, hii inawezekana ni muendelezo wa rushwa ndani ya sekta ya elimu? Yaani wasomi wanajipendekeza wakumbukwe na mtawala kupitia recognitions za shahada ya uzamivu bila vigezo vitakiwavyo?
  3. Inawezekana sasa tuamini kwamba hali yetu mbaya kiuchumi na kisiasa ni usaliti wa wakufunzi wetu wanaowaandaa wasomi ambao hushindwa kuitumia elimu yao kwa maslahi ya nchi?
  4. Vipi kuhusu unafiki?
Una mtazamo gani kuhusu hili?
Kwani hizo PhD zinawasaidia Nini ikiwa wait Kama the big leaders katika mamlaka ?
 
"If you can't chase them, please join them."

I don't mean to influence you at the praises joining teams to the Country Leaders, but the notion is too wide in meaningful, so insure that your mind sets are very clearly scheduled to recognize it senses...

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hi siyo vita mkuu.
Tunazungumza weledi wa kuzuoni na viambatanizi vyake.

Kuna vitu vya kutoa zawadi lakini siyo grades za kielimu..
 
MWENYEZI MUNGU humpa kila MTU anachostahili na huwa sio kusudio la WALIMWENGU.

Kama unastahili UBALOZI WA NYUMBA KUMI! Hiyo NAFASI ni yako na hapaswi MTU yoyote kukuonea DONGE.

Kama unastahili NAFASI YA URAIS! Hiyo pia NAFASI ni yako na hapaswi MTU yoyote kukuonea DONGE, kwa sababu kuna baadhi ya WATU walizaliwa ili kuongoza na kuwa MSAADA kwa WATU wengine.

Kama unastahili SHAHADA YA UZAMIVU, hiyo pia ni yako na hapaswi MTU yoyote kukuonea DONGE.

Hiyo ndio kanuni ya MAISHA! Aliyepewa kapewa na asiye kuwa na BAHATI hata akiokota KITU ataambiwa ameiba. Upo hapo.. 🙏🏿🙏🏿
Akili za namna hii ndizo huamini kwamba cheo siyo dhamana vali hisani au nishani au ngekewa.

Jitahidi kufuta hii dhana kichwani kwako. Unapoaingia kwenye michakato ya kiuongozi inakufanya uwe MTUMWA wa unaowaongoza lakini kwa Tanzania na Afrika yetu cheo ni alama ya umungu mtu.

Laana hii itaendelea kuitafuna nchi hadi tutakapoamua kuheshimisha wananchi na nchi as kipaumbele cha kwanza
 
Ngoja kwanza nisimamie jengo la METALLURGICAL LABORATORY wamalize KUPAKA rangi halafu jioni nitarudi humu..😂😂
 
Swali la kujiuliza ni kwamba..PhD ya heshima ina ksaidiaje mtu aliyepewa? Na je title ya u doctor inasaidiaje.

Mimi nadhani kiongozi kama Rais ameshafika kwenye nafasi ya juu kabisa ya nchi...awe na PhD asiwe nayo haibadilishi chochote kwake binafsi.

Swali ni kwa nini wanapenda hizi title?
Vyuo vikuu hutoa PhD za heshima kama moja ya njia ya kutambua mchango wa mtu katika fani fulani..Mara nyingi kwa viongozi hizi huwa hutolewa baada ya kustaafu maana ndo unaweza kupima vizuri mafanikio yake. Ni tuzo kama tuzo za mfanyakazi bora etc.

Hapa kwetu mambo yamekuwa tofauti kidogo. Nadhani watu wanadhani kuitwa Dr. kuna add value kwenye nafasi za uongozi...ndo maana kila mwanasiasa ana kimbilia kupata PhD kwa njia yoyote ile.
 
Back
Top Bottom