Phd za Mzumbe University!

mnawaonea wivu kwa kuwa wamezpata fasta na za kwnu znawapeleka mogomdogo, hzo nadhani ni sawa "stashahada ya juu" hahahaaaaaa!
 
Jamani kama wamesoma na wakapata hizo PhD.Ni haki yao haichagui kapata kutoka chuo gani! Kwani hakuna Chuo maalumu peke yake cha kutoa PhD.Kasumba yakuangalia majina ya vyuo ilishapitwa na wakati; eti mimi nimesoma Makerere yule kasoma Dar au Havard.Kinacho ulizwa ni kiwango cha elimu uliyonayo au aliyonayo. Una Bachalor; Masters au PhD basi. Swala la kwamba shahada yangu ni bora kwasababu nimesoma Makerere na yako si bora kwa kuwa ulisoma Muzumbe; huwa halipo na ukiona mtu wa hivyo yeye ni kihiyo.Matunda na ubora wa elimu utaonekana uanovyoitumia hiyo elimu uliyonayo.
 
Ndugu Mkandya, tatizo siyo kwamba PhD umeipata chuo gani, as long as kile chuo kiko accredited, yaani kinaeleweka katika fani hizo na program zao zimetathminiwa na kuonekana ziko katika viwango vinavyokubalika.

Tatizo ni zile zinazotoka kwenye internet za kuchapisha makaratasi mazuri (Vyeti) lakini hata hivyo vyuo vikuu haviko.

Hakuna short cut katika elimu ya kweli, wenzako wanasota wewe unapata ya bure, hiyo si haki.
 
Tafadahli hebu mnijuze, kwani Mzumbe University haitambuliki kimataifa?
 
Hii yahitaji ufafanuzi ni nini hicho kilicho chini ya kapeti juu ya PHD za Mzumbe? kuna shida gani Mzumbe na PHD hizo? leta majibu..
 
Jamani kama wamesoma na wakapata hizo PhD.Ni haki yao haichagui kapata kutoka chuo gani! Kwani hakuna Chuo maalumu peke yake cha kutoa PhD.Kasumba yakuangalia majina ya vyuo ilishapitwa na wakati; eti mimi nimesoma Makerere yule kasoma Dar au Havard.Kinacho ulizwa ni kiwango cha elimu uliyonayo au aliyonayo. Una Bachalor; Masters au PhD basi. Swala la kwamba shahada yangu ni bora kwasababu nimesoma Makerere na yako si bora kwa kuwa ulisoma Muzumbe; huwa halipo na ukiona mtu wa hivyo yeye ni kihiyo.Matunda na ubora wa elimu utaonekana uanovyoitumia hiyo elimu uliyonayo.

Ninachoelewa mimi ni kwamba having a PhD kutoka kwenye chuo ambacho ni accredited, ni utambulisho tosha kuwa umebobea katika fani uliyosomea, it doesn't matter from which university. Performance is a relative variable.
 
Mimi suala linalonikera ni mtu kukubali kutumia Dr. kama raisi wetu wakati hajasotea hiyo PhD, kwanini asiwe kama Mwl. Nyerere ambaye alitunukiwa U-Dr. lakini hakutaka kutumia jina hilo, japo ali-deserve hata kuitwa Prof. Ndio maana mimi nimeamua nijitahidi hadi kufikia u-Prof kwakuwa najua sio rahisi mwana siasa kuitwa Prof. Aibu kubwa kuitwa Dr. wakati hata publication moja huna. Ningeshauri wanaotunukiwa hizo degree za phil wasitumie hilo jina la Dr. Nawasilisha!!!
 
aliyeanzisha thread hii nafikiri anashida. Hajatoa ufafanunuzi Mzuri phD za Mzumbe zinashida gani. Kama huna kazi zi lazima hapa si mahali pa kupoteza muda. weka vitu vinavyoeleweka.
 
Back
Top Bottom