myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 147,648
- 656,607
mi sijui hapa tunamuongelea nani, ila kama ni mkuu nadhani phd yake iko sahihi..Wewe kichwa maji hebu tuoneshe utata ulipo.
Mbowe lazima ashike adabu mwaka huu na aache utapeli na kufoji vyeti