Hamad Mfaume
Member
- Jun 9, 2011
- 38
- 1
Petrol Station ipo Kwa Mfipa inauzwa. Kituo kipo kabda ya stand Kwamfipa upande wa kushoto kuelekea Morogoro, kinafanya kazi kuna Pump 4, tanki 4. Tanki 2 za ujazo wa lita 25,000@moja. Tanki zingine 2 zinaujazo wa Lita 9000@moja. Kwa maelezo zaidi piga 0754383174 . Bei Milion 500.