Tutafika
JF-Expert Member
- Nov 4, 2009
- 1,443
- 631
serkali yet sikivu sana, ila ni sikivu kwa wazungu, wakisema wazungu utaona mambo yanatokea fasta, sijui kwa nini serikali inajikomba sana kwa wazungu. . . unakumbuka meli za iran? email moja tu serikali ikawa busy sana, vingapi sie tunashauri lakini serikali yetu kimya
Hili lilikua dogo, sasa vipi hili la kutaka kuondoa kodi ya VAT katika mauzo ya migodi ya madini kwasababu BARRICK wanataka kuuza mgodi kwa china?