PETITION – President Jakaya Kikwete: Stop the Serengeti Sell-Off

Baada ya kusign petition nikapata huu ujumbe, wenzetu wanajipanga sana!

Thanks for taking action to help the Masaai fight to keep their land.

The best way to ensure President Kikwete hears our voice immediately is to get the attention of one of his closest associates, whom he trusts on controversial matters like this: Mr. January Makamba MP.

Email Mr. January Makamba MP here. And tweet him @jmakamba. Let's make sure Kikwete's inner-circle join our cause!

Below are some suggested talking points for tweeting or emailing Mr. Makamba.. Please remember to be polite.


  • I am concerned to hear that up to 48,000 Maasai might be forced off their land to make way for hunting royals in Loliondo.
  • I know President Kikwete relies on your advice and support. Please use your influence to ensure that these Maasai don't lose the lands they rely on.
  • Call on President Kikwete to champion the Maasai and stop any attempt to change their land rights against their will.

 
Ndio zomba Mkuu, hakuna Juma, Salum, Petro wala Mfungameza, kwa sababu kama kawaida yetu, wapiga debe wakubwa wa utetezi wa mali zetu na wanaofchua madudu yetu ni watu kutoka nje kuliko hata sisi wenyewe.

Ninakuomba kwa heshima zote upitie hapa Avaaz - Stop the Serengeti Sell-Off ili ujumuike na hao hao akina Sam, Meredith, Luis, Aldine na Diego, ili kutetea watu wako.

Hawana moja la maana hao. Inauzwa inapelekwa wapi? wachumia tumbo tu hao.

Kuna kina Fox wamemegewa Ruaha, Mikumi na Selous mbona hatujawasikia hao mnaowaabudu kunyanyua kinywa? au kwa kuwa ni wazungu?
 
about 20 years ago the one whom I assume to be among the GREAT THINKERS and brave, the late Stanislaus Katabaro (may his soul rest in peace) rose to address this issue via 'Mfanyakazi' newspaper. There were very few by then who understood what he meant till recently when few Maasai families were even moved further more from Loliondo areas, their mother land.

The worst thing is that even those assassinated Mr. Katabaro are still enjoying the pensions at the costs of wananchi!!!
 
pasco nashukuru kwa taarifa hili jukwaaa huru namini wewe una hadhi ya kuitwa investigative journalist..
itauwa vema tukawafahamu hawa wanaoauza rasilimali zetu ili tudai chetu mapema na wawajibike
usiiogope kuwataka kwa ajili ya kuokoa taifa lako.
wansema mbegu isipokufa na kuoza haitamea mche mpya
hauko tayari kuifia nchi yako kwa ajili ya ukombozi wa watoto wetu?
Mkuu Lokissa, ukiwa mkweli mno kwa bongo ni hatari!, nilipoendesha kile kipindi cha "Kiti Moto" niliyaona matokeo ya kuwa mkweli sana, ukishajua the way "system" oparates, na ukajipima na kujiona "if you can't fight them, join them"!, I've joined them and fight from within!.

Kuna wapiganaji wa aina mbili, aina ya kwanza ni wale wa kujitoa muhanga, ambao they fight to death no matter what, na wakishakufa, juu ya makaburi yao wataandikwa "mashujaa" wamelifia taifa hili!. Na kuna wapiganaji wa aina ya pili, wanaitwa "fighting for survival", hawa ni wale ambao hata apigane vipi, ni lazima asurvive, akiona mapambano ni mugumu na anaweza kuangamizwa, hu retreat na kujinga upya ili aje a strike tena with a big blow!.

Niko tayari sana kuifia nchi yetu kwa ajili ukombozi wa watoto wetu, ila pia kwa vile mimi ni mtu mwenye familia (six kids), in this case family comes first, ndipo taifa lifuatie!, unaangalia kwanza, what happens to these innocent six kids after you perish "kishujaa", unajiuliza kwa kuangalia historia za mashujaa waliotangulia, ukiachilia nyimbo za sifa za ushujaa wao, familia zao ziliachajwe na sasa zikoje?!. Ni waandishi wachache sana ambao hata wanalijua lilipo kaburi la Stan Katabalo!.

Bado najiamini niko fit na nina uwezo wa kufanya kitu kwa ajili ya taifa langu, kwa sasa nimerudi nyuma kujipanga upya, na soon nita strike back with a big blow, by that time nitakuwa nimeshaacha mazingira mazuri for the six just incase itakuwa ndio final blow ya "to live and let die"!.
 
tell arab kikwete to stop war plans on malawi . He is diverting attention from his@corrupt sell of tanzania to arabs. Why sell serengeti to arabs kikwete?
 
I wonder if these folks can have can access, do peruse and come out to say something about these allegations!. Being quite it may be perceived to have accepted whatsoever allegations have been thrown unto you!

Sometimes, natamani mambo kama ya Zambia yatokee tu, tuwa-Chilube viongozi wetu baada ya kustaafu!
 
Does petition works on this side of the world to resolve such matter? I know for sure in US its works. I am not certain if we have embraced such culture yet. Or my be my clock is running slower
 
Tatizo la wanaharakati ndio hilo. They don't bother to give details but they expect you to buy in and support whatever argument they put forward. The description for this petition leaves a lot to be desired. Who is behind this deal? Which area are we talking about here (Serengeti? Hunting is not allowed in national parks)? What is the size of the area in question? Middle Eastern kings and princess? Who are these people? What is the name of a hunting company involved in the deal? Make it explicit, please. It might be doing more harm to dramatize the issue (Serengeti sell-off!) than one might expect. Why not tell something as it is? (or doing that will weaken the argument?) You think you won't get big crowd. Right? Unfortunately, a good number of people (serious people for that matter) will ask for details before reaching a decision to support the campaign and sign a petition.
 
Habari za mchana wakuu, nimeikuta hii habari kwenye
https://secure.avaaz.org/en/save_the_maasai/?aznXrdb


Posted: 9 August 2012
At any moment, a big-game hunting corporation could sign a deal which would force up to 48,000 members of Africa’s famous Maasai tribe from their land to make way for wealthy Middle Eastern kings and princes to hunt lions and leopards. Experts say the Tanzanian President’s approval of the deal may be imminent, but if we act now, we can stop this sell-off of the Serengeti.

The last time this same corporation pushed the Maasai off their land to make way for rich hunters, people were beaten by the police, their homes were burnt to a cinder and their livestock died of starvation. But when a press controversy followed, Tanzanian President Kikwete reversed course and returned the Maasai to their land. This time, there hasn’t been a big press controversy yet, but we can change that and force Kikwete to stop the deal if we join our voices now.

If 150,000 of us sign, media outlets in Tanzania and around the world will be blitzed so President Kikwete gets the message to rethink this deadly deal. Sign the petition now and send to everyone.
 
This is a good move, only if mngewajua who are the people behind hiyo sell off!.
Kwa wenye kumbukumbu, zilipigwa kelele sana kuhusu kutoroshwa kwa wale Twiga kule KIA na ile midege mikubwa ajabu!. Japo kele zilipigwa mpaka bungeni, no one is concerned on who was behind!.

Kwa taarifa tuu, wale Twiga walishalipiwa in full, fedha zikaingizwa mikononi mwa watu!, walipofuata twiga wao, wakapewa paper work kuwa twiga wale ni wa zawadi kutoka mahali, kupelekwa mahali!. Guess who was behind?.

Tanzania tulikuwa na "wenyenchi", "walanchi" na "wananchi", lakini sasa tunao mpaka "wauzanchi" na mkiwajua hamtaamini, macho na masikio yenu!.

"Kikulacho..."

Pasco!.

Mkuu kila kitu kiko wazi!
Wanajulikana
 
Huwa nashangaa ninapoona wageni ndio wanapiga kelele za kuwatetea Wamasai (au kama lile sakata la Barabara ya Serengeti).

Tena hata hatujui ni kina nani walioitisha hii petition, na hao wawindaji wanaowapinga ni kina nani.

Hata ramani ya eneo wanalolipigia kelele hawajatoa.

Tanzania kuna general land ambayo iko chini ya Raisi kwa niaba ya Watanzania. Na kuna village land ambayo iko chini ya serikali za vijiji.

Inawezekana ni ishu ya kuipinga, lakini taarifa zilizotolewa so far hazitoshelezi kufanya maamuzi.
 
Eti watu wa duniani, hivi hii dunia kuna kina hao tu? wametumwa hao si bure. Mbona hatukuwasikia kupiga kelele kumegwa kwa selous, mbuga ya wanyama kubwa duniani, kwa ajili ya kuchimba uranium ambayo ni tishio kwa dunia nzima? kama si unafik ni nini huo?
 
My brother i beg to differ. Arabs abused africans during slavery and they continue to do so now in tanzania. When will theae evil doors be stoned to death my brother ! When????
At last every evildoer will convicted and stoned to death!
 
My brother i beg to differ. Arabs abused africans during slavery and they continue to do so now in tanzania. When will theae evil doors be stoned to death my brother ! When????

Ndio mlivyodanganywa? wangekuwa evils mngewapa shangazi zenu?
zanzibar_Tipu_Tib_1880-1900_scaled.jpg

 
Back
Top Bottom