Peter Zakaria asomewa mashtaka mawili ya kujaribu kuua, anyimwa dhamana

Hawa jamaa ni wajinga kweli wao wange muwahi si angepigwa sandarusi na kupoteza ushahidi sasa inshu yao ilibuma waka aibika ndio maana mashitaka haya yamefunguliwa
Majaji wastaafu walinena kuhusu wajibu, haki na utawala wa sheria.
Hivi ni lini taifa letu lilitoa jukumu la maofisa usalama wa taifa kuwa wakamataji watu kazi iliyo jukumu la polisi?
No wonder kuliibuka watu wasiojulikana!
 
Kweli nimeamini wanaoikubali ccm ni wazee na vilaza...
Kwa hiyo kama alikuwa ni jambazi si wangetumia utaratibu wa kawaida wa kipolice kumkamata...kwa nini watumie idara ambayo si kazi yae..!?
 
Nakumbuka utabiri wa lissu "wakimalizana na sisi (vyama vya upinzani) watakuja kwenu". Amkeni sasa, ameishaingia kwenu.....wataisoma namba!..
 
Zakaria ni mume hivyo ana mke au wake

zakaria ni baba hivyo ana watoto achilia mbali yule aliyekuwa England au wale waliopo USA masomoni

Zakaria ni mjomba hivyo ana wapwa
Zakaria ni shameji hivyo
Zakaria ni muumini wa kanisa la Roman na mtoa misaada kanisani
Zakaria ni mwanachama wa CCM anatoa misaada chamani achilia mbali deni alilosamehe zaidi ya 36M

Zakaria ni mfanyabiashara mkubwa halali

Zakaria amewaajiri watu wengi mno hivyo wanaishi na familia zao huku wakimtegemea yeye

Zakaria ni mtoa kodi
Zakaria ANAWEZA KUWA NA MAPUNGUFU YAKE ILA PIA TUKUMBUKE NA MAZURI YAKE
sio busara ukomae tu kumchafulia jina JF ilihali hakuna unachokipata

Zakaria anamiliki visima vya mafuta, mabasi zaidi ya 50 yakiwemo mapya zero kilometers, ana vituo vya depots bia na soda, ana mgodi wa dhahabu Nyamongo, ana biashara nyingi bado mashamba

Hivi mtu kama huyu huo ujambazi ambao nimeona kuna mtu humu JF amekomalia huwa Zakaria anaufanyia wapi?
ili apate nini hasa?

siku anakumbana na hilo tukio alikuwa na kiasi tu cha fedha kutokana na biashara yake kiasi cha zaidi ya 16M

HAPANA IFIKE SEHEMU KAMA HAUNA CHA MAANA CHA KUSEMA NI BORA TU UKAE KIMYA
 
Ukiisha kua na Kadi ya CCM wewe ni jambazi automatically.
 
Back
Top Bottom