Peter msigwa mbunge wa Iringa asifu kasi ya Magufuli

GRAMAA

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
1,155
3,399
Leo katika mdahalo uliofanyika katika chuo kikuu cha mkwawa. Mdahalo huo umeudhuliwa na watu mbalimbali akiwepo Mbunge wa Iringa.
Ilipofika zamu ya Msigwa kuongea alikili wazi kuwa Magufuli kuwa ni kiongozi bora na anayetumia sera za CHADEMA
Hongera sana msigwa kwa kumuunga mkono Rais wetu.
 
Sera anazotumia magufuli sio za cdm bali ni za ccm achebo kujipendekeza
 
Nakubaliana na Msingwa, CCM hawakuwa na ILANI kama anayotumia MAGUFURI, atakuwa ana tupi jicho la chama pinzani!
 
Sijaona wapi Chadema wamekemea ufisadi.nadhani kwa sasa wanajitafakari kilichowatokea
 
Sera anazotumia magufuli sio za cdm bali ni za ccm achebo kujipendekeza

Kama magufuli anatumia sera za CHADEMA kwa nini viongozi wa juu wa CHADEMA hawajatoka kwenda kufanya usafi kwenye maeneo yao?

Na huyo Msigwa naye na hao chuo kikuu cha Mkwawa hivi hawajui kuwa leo ni siku ya Usafi? Kilichowapelekea kuandaa midahalo badala ya kwenda kufanya usafi kuitikia agizo la mkuu wa Nchi ni nini? Hicho kimdahalo kina ADD VALUE GANI KWA MKOA WA Iringa na NChi.Kimdahalo hicho kisingefanyika kulikuwa na madhara gani? Kisingeweza kuahirishwa?

Usafi na kimdahalo kipi kilitakiwa kipewe kipaumbele.

Hicho chuo kimejaa Wana UKAWA nini? Wameamua kukaidi agizo la raisi kwa kisingizio cha mdahalo!!!! Magufuli mulika Chuo cha Mkwawa
 
Alianza Sugu, sasa Msigwa.... Mbowe na Lowasa wanaona aibu tu kukiri.

Nchi ni yetu sote pamoja tutaijenga!
 
Sijaona wapi Chadema wamekemea ufisadi.nadhani kwa sasa wanajitafakari kilichowatokea

Unayoona magazetini na vyombo vya habari kama TV kuwa ni majipu aliyotumbua Magufuli hizo taarifa ni asilimia moja tu ya majipu anayotumbua Magufuli.Katumbua sehemu nyingi zingine zinawahusu.
 
Ni vema kukubali na kumpongeza mtu anapofanya vizuri hata kama sio wa itukadi yako na humpendi.
 
Sijaona wapi Chadema wamekemea ufisadi.nadhani kwa sasa wanajitafakari kilichowatokea
 
Hadi leo RAIS hana ilani ta chadema...Ilani alokabidhiwa ni ya ACT tu...pia vipi matokeo alotangaza Lubuva kwa sasa ni halali?? Au tusubilie yale ya kumtangaza Rahisi (si Rais) wa MIOYO YA WATU WA UKAWA???
 
Kama magufuli anatumia sera za CHADEMA kwa nini viongozi wa juu wa CHADEMA hawajatoka kwenda kufanya usafi kwenye maeneo yao?

Na huyo Msigwa naye na hao chuo kikuu cha Mkwawa hivi hawajui kuwa leo ni siku ya Usafi? Kilichowapelekea kuandaa midahalo badala ya kwenda kufanya usafi kuitikia agizo la mkuu wa Nchi ni nini? Hicho kimdahalo kina ADD VALUE GANI KWA MKOA WA Iringa na NChi.Kimdahalo hicho kisingefanyika kulikuwa na madhara gani? Kisingeweza kuahirishwa?

Usafi na kimdahalo kipi kilitakiwa kipewe kipaumbele.

Hicho chuo kimejaa Wana UKAWA nini? Wameamua kukaidi agizo la raisi kwa kisingizio cha mdahalo!!!! Magufuli mulika Chuo cha Mkwawa
we nae vipi? Umekula maharage ya wapi sijui..... kwani kufanya usafi ni sera mpaka uhoji viongozi wa ukawa kama wamefanya usafi??
 
Msigwa kuongea alikili wazi kuwa Magufuli kuwa ni kiongozi bora na anayetumia sera za CHADEMA

Msigwa aungame tu dhambi mbele ya watanzania alizomkosea Mungu na watanzania kwa kujaribu kuwachomekea fisadi liwe kiongozi
.
MUNGU SI Athumani alisimama na watanzania kinyume na wachungaji feki waliotaka kutumia maji yao ya baraka kubariki fisadi liende ikulu.Mungu na awalaani kwa kitendo walichokifanya kwa kulitumia jina la Mwenyezi Mungu bure kuwachuuza watanzania.
 
Kasome ilani bora kuzidi zote ni ya cdm na ufisadi umeongelewa sana tu....

Ufisadi Unaongelewa kwenye ilani ikifikia kupokea fisadi anapokelewa kwa mikono miwili na asiye fisadi kama Slaa anakimbizwa kama mbwa atoke.Kuandika kwenye ilani na kuitekeleza ni vitu viwili tofauti ndani ya CHADEMA.

Ndio maana hata lowasa hakuhangaika kuinadi alisema ksomeni wenyewe kwenye website!!!!
 
Back
Top Bottom