Peter Msechu aibuka mshindi wa pili Tusker Project Fame

Anamtongoza Juliana live kwenye luninga, anasema anampenda juliana wa Uganda... ni balaa tupu, judges wanamfagilia...juliana anamwuliza which juliana was that, inaonekana mwenye kamfia...Big up Msechu..
 
Naamini Mungu atamsaidia atashinda, hatamajaji wanamwita he is wonderful...wanasema msech is a star
 
Kijana anajitahidi sana hata anapowasaidia washindani wenzake anafanya kwa moyo. Nimempigia kura kwa kadri nilivyoweza ila sijui kama wabongo tumempa za kutosha

Kweli, jamaa hana kinyongo hata kidogo, anajituma kuliko kawaida...tusubiri kama ataibuka mshindi. nadhani watz watakuwa wamempigia kura maana kufika hapo alipo siyo bure...
 
Swali, hivi kwa sasa hakuna namna ya muendelea kumpigia kura Msechu? kama inaruhusiwa watu waendelee kumpigia kura, au ushindi wa hatua hiyo ni wa jukwaani na siyo wa kura?
 
shida kubwa kbsa ya watanzania hapo TPF ni LUGHA! Kwakweli ukimsikiliza PM anavyoongea kiingereza utamwonea huruma. Sijasema kujua kiingereza ni tija sana, lakini ndiyo comm-medium ya almost mambo yote hapo mahala. Nilimsikia siku moja akiwa amerelax na wenzake anaongea, kweli anateseka, kinachomsaidia ni ile hali ya kuwa commedian fulani ndiyo inayomsaidia. Kila anachoongea inakuwa anachekesha wenzie, na siku zinapita, kumbe mwenzao ndo maji ya shingo hivy.
 
Aibu zaid imejitokeza pale Matonya alipopanda kufanya show, baada ya kumaliza amepigwa maswali na mc kwa kidhungu akawa anajibu kwa kibongo, Nimeshkuru Mungu kwmb alikuwa anajibu relevantly.

Kwa mtizamo wangu, uwezekano wa Peter kushinda ni narrow. Mimi nam-rate uwezekano wake ni 40%. Mganda anawatesa sana!
 
shida kubwa kbsa ya watanzania hapo TPF ni LUGHA! Kwakweli ukimsikiliza PM anavyoongea kiingereza utamwonea huruma. Sijasema kujua kiingereza ni tija sana, lakini ndiyo comm-medium ya almost mambo yote hapo mahala. Nilimsikia siku moja akiwa amerelax na wenzake anaongea, kweli anateseka, kinachomsaidia ni ile hali ya kuwa commedian fulani ndiyo inayomsaidia. Kila anachoongea inakuwa anachekesha wenzie, na siku zinapita, kumbe mwenzao ndo maji ya shingo hivy.
Ofcoz lugha ni problem, hata Matonya pale aliulizwa swali kwa kiingereza akajing'ata kwa kiswahili, ila hiisiyo ishu sana, cha msingi ni kuwa nyimbo wanazoimba ni nzuri hata kama lugha ni tatizo. Ndio maana wengine ni washabiki wa miziki ya kihindi maarufu kama Nachi ilihali hatuelewi kila wanachoimba..
 
aibu zaid imejitokeza pale matonya alipopanda kufanya show, baada ya kumaliza amepigwa maswali na mc kwa kidhungu akawa anajibu kwa kibongo, nimeshkuru mungu kwmb alikuwa anajibu relevantly.

Kwa mtizamo wangu, uwezekano wa peter kushinda ni narrow. Mimi nam-rate uwezekano wake ni 40%. Mganda anawatesa sana!

matonya kaniacha hoi sana pia. Ninachojiuliza ni kuwa hivi hawa wasnii wetu hawewezi kweli kuattend english coz? Inachafua sana akili yangu hii kitu ya wasanii wetu kushindwa hata kureply simple question.
 
ofcoz lugha ni problem, hata matonya pale aliulizwa swali kwa kiingereza akajing'ata kwa kiswahili, ila hiisiyo ishu sana, cha msingi ni kuwa nyimbo wanazoimba ni nzuri hata kama lugha ni tatizo. Ndio maana wengine ni washabiki wa miziki ya kihindi maarufu kama nachi ilihali hatuelewi kila wanachoimba..

ni ishi bana,waache uvivu wajiendeleze. Tatizo lao ni kutojibidiisha tu. Wanaboa bana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom