Pesa za DOWANS Zifidie Wahanga wa Mabomu Gongo la Mboto - Hatutaki Tume Nyingine

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Watu wamepoteza maisha na makazi yao kuharibika! Sababu kubwa ni Uzembe siwezi elewa mabomu kulipuka kila wakati na raisi kutoa majibu mepesi. Mbona nchi nyingi zina silaha za kijeshi lakini hatusikii milipuko ya kuuwa raia zake. Lazima tuwajibishane ili hali kama hii isitokee tena. Kwa uwezo wa amiri jeshi mkuu hapa atakurupuka na kuunda tume nyingine Kuchunguza mabomu ya Gongo la Mboto. Kwa taarifa za kiintelijensia zilizonifikia kuna idadi kubwa ya Askari imepoteza maisha katika harakati za kuokoa madhara zaidi kwa wanainchi walio karibu na kambi hiyo ya kijeshi.

Nashauri badala ya kumlipa Lowasa na Rostam kupitia Dowans pesa hizo zitumike kulipa fidia na kurudisha maisha katika hali ya kawaida kwa waathirika wa milipuko hii ya Ngongo la Mboto. Hakuna sababu ya kukopesha wabunge Mil 90 wanunue magari ya kifahari wakati kuna wanainchi wanataabika.

Bila shaka busara itatumika na waziri wa Ulinzi atawajibika kwa kujistaafu kwa manufaa ya taifa na kurudisha imani kidogo kwa serikali.
 
well said,you have spoken my mind!
Kwa kuwa hela ya Rostam ilishatengwa ipelekwe mojakwamoja Gongolambota kwani hamna ucheleweshwaji kwa kutafuta hele zingine
Jk akisema hana hela ya kuwalipa wanagongolambota ni lazima atueleze ametoa wapi za kuwalipa Lowasa+Rostam
 
Watu wamepoteza maisha na makazi yao kuharibika! Sababu kubwa ni Uzembe siwezi elewa mabomu kulipuka kila wakati na raisi kutoa majibu mepesi. Mbona nchi nyingi zina silaha za kijeshi lakini hatusikii milipuko ya kuuwa raia zake. Lazima tuwajibishane ili hali kama hii isitokee tena. Kwa uwezo wa amiri jeshi mkuu hapa atakurupuka na kuunda tume nyingine Kuchunguza mabomu ya Gongo la Mboto. Kwa taarifa za kiintelijensia zilizonifikia kuna idadi kubwa ya Askari imepoteza maisha katika harakati za kuokoa madhara zaidi kwa wanainchi walio karibu na kambi hiyo ya kijeshi.

Nashauri badala ya kumlipa Lowasa na Rostam kupitia Dowans pesa hizo zitumike kulipa fidia na kurudisha maisha katika hali ya kawaida kwa waathirika wa milipuko hii ya Ngongo la Mboto. Hakuna sababu ya kukopesha wabunge Mil 90 wanunue magari ya kifahari wakati kuna wanainchi wanataabika.

Bila shaka busara itatumika na waziri wa Ulinzi atawajibika kwa kujistaafu kwa manufaa ya taifa na kurudisha imani kidogo kwa serikali.

Kikosi cha intelejinsia kimesema pesa za dowans zisipo lipwa nchi haitatawalika
 
Rev. nakubaliana na wazo lako lakini tatizo hiyo hela wamashagawana tayari hawa THREE THE HARDWAY. (RA,EL&JK) kinachoendelea ni usanii tu nakufanyana wajinga lakini jamaa wameshavuta mpango wao.
 
Nakosa Imani na uongozi wetu! Kuna thread imeandikwa Jana nadhani kuwa Tanzania tuombe wageni waje kutuongoza. Kuna mantiki hapo
 
Kesho iwe ni siku ya Maombolezo ya Kitaifa kuwa kumbuka marehemu wote waliokufa kwa Uzembe wa Mabomu Gongo la Mboto. Bendera zote Nusu milingoti
 
Watu wamepoteza maisha na makazi yao kuharibika! Sababu kubwa ni Uzembe siwezi elewa mabomu kulipuka kila wakati na raisi kutoa majibu mepesi. Mbona nchi nyingi zina silaha za kijeshi lakini hatusikii milipuko ya kuuwa raia zake. Lazima tuwajibishane ili hali kama hii isitokee tena. Kwa uwezo wa amiri jeshi mkuu hapa atakurupuka na kuunda tume nyingine Kuchunguza mabomu ya Gongo la Mboto. Kwa taarifa za kiintelijensia zilizonifikia kuna idadi kubwa ya Askari imepoteza maisha katika harakati za kuokoa madhara zaidi kwa wanainchi walio karibu na kambi hiyo ya kijeshi.

Nashauri badala ya kumlipa Lowasa na Rostam kupitia Dowans pesa hizo zitumike kulipa fidia na kurudisha maisha katika hali ya kawaida kwa waathirika wa milipuko hii ya Ngongo la Mboto. Hakuna sababu ya kukopesha wabunge Mil 90 wanunue magari ya kifahari wakati kuna wanainchi wanataabika.

Bila shaka busara itatumika na waziri wa Ulinzi atawajibika kwa kujistaafu kwa manufaa ya taifa na kurudisha imani kidogo kwa serikali.

Mkuu,

Hapa nakuunga mkono kwani usisikie kuna watu wameathirika kabisa kimaisha na kisaikolojia kutokana milipuko iliyotokana na pengine uzembe wa watu.
 
Kikosi cha intelejinsia kimesema pesa za dowans zisipo lipwa nchi haitatawalika

Na pia itawaka moto. Huyo Rostam atakuwa ana siri kubwa dhidi ya Kikwete. Haiwezekani Rais wa nchi umuogope mtu kiasi hiki pamoja na kuwa una madaraka makubwa ndani ya nchi yako.
 
Back
Top Bottom