"bila ya pesa" ndio vipi?
Pesa inhitajikaje kudumisha mapenzi kwani?
msipokuwa na pesa za chakula cha kutosha, mavazi ya kutosha, malazi ya kutosha, matibabu ya kutosha, usafiri wa kutosha na kadhalika msidhani penzi litadumu, visa vya alfu ulela ulela ni vya vitabuni tu, hali halisi inahitaji fedha!
Hapo hoja inasimama kwenye neno "kutosha." Manake hii kutosha ni kwa kiwango cha nani? Manake mwengine anaweza kuona kuvaa nguo za kafaulaya zinatosha wakati mwengine anaona hadi iwe brand new kutoka designer anaeleweka ndo kutosha
:A S 39:
sio suala la semantics hapo, kwani hujui gharama za matibabu, safari, pango na chakula achilia mbali hizo za mavazi?
yaani mtu akisema pesa si kitu katika mapenzi basi muogope kama ukoma, pesa ni muhimu kuliko maelezo, ziwepo!

Wewe unazo pesa za kutosha ku-hang na yule binti wa mjeda?
Lol! Mwalimu ina maana sasa inabidi kabla ya kuanza kutoka na mkaka nimtathmini eeh?
Kweli elimu bahari, ngoja kwanza niweke standard yangu ya 'hela ya kutosha'
Lol! Mwalimu ina maana sasa inabidi kabla ya kuanza kutoka na mkaka nimtathmini eeh?
Kweli elimu bahari, ngoja kwanza niweke standard yangu ya 'hela ya kutosha'
Omba bank statement ya miaka angalau mitatu.
Awe na financial statement pia, asisahau family doctor, family lawyer, na family auditor.
Heheheh kumtathmini muhimu sana.
Manake inapokuwa pesa yake haijatosha, hakubali uwe unapata mchongo kutoka home kufikia viwango vyako vya kutosha.
Beware
Tusidanganyane kwa visa vya alfu ulela ulela, bila pesa penzi halidumu hata wapenzi wapendane kiasi gani :yell:
kwa sisi wa kuunga unga kazi ipo na ikitokea ulikuanazo then zikakata huna budi kum'binafsisha...full mistress