Pesa iko overrated

MFALME WETU

JF-Expert Member
Feb 1, 2021
2,587
6,170
kila kitu kina thamani kama hauna.

Kipindi nipo mdogo nilikua na imagine the way ntavokua naspend nikipata hela kama kujenga jumba la kifahari, kudrive ndinga kali, kubadili wanawake na safari nyingi za nje ya nchi zisizoisha but guess what? things turned out to be against my imagination.

Hizi pesa tunazozitafuta especially sisi wafanyabiashara ni wachache sana wanapata muda wa kuzispend effectively.

asilimia kubwa ya watu wenye hela hawana peace of mind, wengi wana malimbikizo ya mikopo Bank na kwenye microfinace mbalimbali, wengine wanawaza muda wowote wanaweza kuvamiwa na majambazi, wengine familia zao haziishi matatizo yanayodemand pesa ndefu yani ni full stress

Katika Jamii yetu ya kiafrica mtu ukiwa na ukwasi automatically unakua adui ya watu either directly au indirectly so muda wote unakua attention kumaintain financial status ambayo umetumia muda wako mwingi na nguvu kuipata.

muda mwingi tunatumia kwenye yetu tuliowekeza vitega uchumi vyetu, hii inapelekea ratiba yetu ya kila siku inakua ile ile; kuamka saa 06:00am kulala saa 00:00am

At the end of the day matokeo yake unapata mauti katika harakati izoizo za kutaka kuongeza dollar Bank pasipo kuzifaidi au unazeeka huku ukiwa na restrictions kibao mfano umejenga ghorofa ila kupanda vyumba vya Ghorofani huwezi maana umri ushakutupa mkono au huwezi kula baadhi ya vyakula.

Starehe pekee tunayoimudu wengi wetu ni Kushindia Bar na wanawake na kujiiba mara mojamoja kutembelea nchi za wenzetu.

only few rich people are able to live the life they promised themselves to live. Wengi ni jina tu kuwa "Fulani ana Pesa" lakini muda wa kuzitumia hana.
 
Umasikin sio sifa nzuri...ninacho angalia katika utafutaji wangu...hata kama pesa zinanitesa ningependelea ziwanufaishe mpaka third generation yangu..wanangu...wajukuu...vitukuu...umasikin ni mbaya sana
 
Back
Top Bottom