Pesa huhamisha milima, triple 7 yafikia tamati viunga vya Kawe Avocado

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,447
7,830
Kijiwe cha mgahawa, mahanjumati kikisindikizwa na bar yenye kila aina ya mvinyo kwa wakazi wa Kawe, Mikocheni na maeneo ya jirani kimeshushwa rasmi baada ya jana tingatinga kukigeuza njia yake.

Mgahawa na baa ya tripple 7 umekuwepo tangu enzi mjini Dar ikilishinda soko kwa pande hizo. Changamoto pekee kwenye kijiwe ilikuwa ni wizi uliopitiliza wa wahudumu. Siku moja nilipiga simu kuagiza chips kavu mbuzi, aloo wakasema 70k.. Nilipoenda physically wakasema walihisi lafudhi ya kizungu 🤣 🤣

Kumbe walishaletwa humu kwa wizi: Wahudumu wa Triple 7 Bar Mikocheni acheni wizi

Tetesi zinasema kuna kibopa kaweka mpunga, landlord akanyanyua tu simu kumpa notice tenant ambaye ni tripple 7 afungashe virago.

Triple 7.jpg
 
Kijiwe cha mgahawa, mahanjumati kikisindikizwa na bar yenye kila aina ya mvinyo kwa wakazi wa Kawe, Mikocheni na maeneo ya jirani kimeshushwa rasmi baada ya jana tingatinga kukigeuza njia yake.

Mgahawa na baa ya tripple 7 umekuwepo tangu enzi mjini Dar ikilishinda soko kwa pande hizo. Changamoto pekee kwenye kijiwe ilikuwa ni wizi uliopitiliza wa wahudumu. Siku moja nilipiga simu kuagiza chips kavu mbuzi, aloo wakasema 70k.. Nilipoenda physically wakasema walihisi lafudhi ya kizungu 🤣 🤣

Tetesi zinasema kuna kibopa kaweka mpunga, landlord akanyanyua tu simu kumpa notice tenant ambaye ni tripple 7 afungashe virago.

Kweli wanakuwaga na mabei ya ajabu haha 😄

Ova
 
Inasemekana wakina maenda wameuza pale
777 sahv anajaribu kufanya mipango ahamie ilipokuwa safari carnival ....

Ova
Kahamia Mikocheni, ilipokuwa +255.. Pia nimewaza jinsi maamuzi madogo yanavyoweza kuharibu maisha ya watu wasipokuwa makini. Imagine chain iliyokuwa inaitegemea triple 7 kutamba mjini ikiwemo wahudumu, mmiliki na watoa huduma
 
Back
Top Bottom