Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,521
Your welcome.. enjoy the game.
mia mia mkuu
Your welcome.. enjoy the game.
Yah hii ni common na huwa zinatokeaga sana cha kufanya ikitokea an error kama iyo just google it, na utapata ilo file ambalo utalidownload na kuweka kwny folder la game na litatua tatizo na game litaplay.. so for your case file hili hapa download alafu weka kwny folder la game liloleta ilo error
XO How do u download from speedyshare hiyo fserv.dll file inazingua kwanguGwiji e2themiza hapo kwenye red kila nikijaribu kupakua napata ujumbe "Today's limit was exceeded" nimejaribu kutumia hide my ip bado pagumu.
Pili nlikuwa nauliza je hili game linachezwa na hizi keyboard za kawaida au kuna addition Hardware?
kuna Game la God of war nimeinstall liko fresh but nashindwa kustart
Extract it na install hio pia..(sasa hapa pia usiwe na haraka wale wa NEXT, NEXT.. kumbuka ulicopy game na kulihamisha.. so hakikisha unaidirect hii patch install kwenye game folder ulipopahamisha)
GetRipz.pl - Free Turbobit Premium Link Generator
mwenye game la fifa 13 jamani please am addicted fan of it