uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 3,994
- 8,370
Kocha mkubwa km Pep kwenda kufundisha timu ndogo ya manchester city ilikuwa matumizi mabaya ya akili
Hii manchester city haiwezi kukua wala kuwa miongoni mwa giants kwasababu wanabeba makombe ya kununua harakaharaka
Wameshinda treble lkn ni kama hakuna kilichotokea badala yake Arsenal iliyoshika nafasi ya pili ndio inazungumzwa zaidi
Liverpool iliyoshindwa kufuzu Uefa ndio inazungumzwa zaidi
Ni wazi hii ni plastic club with plastic fans
. wachezaji wa manchester city wote wanataka kuondoka manchester city
KDB bado ndoto yake ni kuvaa uzi wa liverpool
Bernado silva haitaki kabisa manchester city
Rodri anapambana aende barcelona akiondoka Pep
Haland amesaini mkataba akitaka kusepa muda wowote wasimzuie
Cancelo aliwakimbia
Kapten gundo kashinda treble ila kawakimbia
Foden ndoto yake ni kucheza manchester united hata baba yake alimkataza kusaini City
Unaona hapa they won treble lkn no one is talking about them
Manchester city anakuwa anavutia game inapowa live tu mechi ikiisha ni wanakuwa km ndondo
Manchester city imevuka hatua katika ukuaji wa timu this means watarudi walipotoka regardless wameshinda nini
Poor Pep unashindwa hata kwenda aston vila au leeds ukachagua plastic club