Peoples` power...

Wasikubali kushiriki katika kamati zao; then hii itaonyesha wazi kuwa wao ndio peke yao hawako katika serikali and thus wapinzani wa kweli!
 
CHADEMA watoka nje ya BUNGE tena kwa maslahi ya TAIFA, yakataa NDOA ya lazima na VYAMA `SALITI`......

Here is the TRUTH, ni dalili za uroho wa madaraka!!!. nasikitika kwa kuwa hizo si dalili njema kwa chama chenye wasomi kam CDM tulichotarajia kisaidie kuunda timu imara ya upinzani bungeni. Dunia ya sasa is Teamwork that counts and that counts well.
 
kwa maslahi ya CHADEMA si ya taifa......

Nikwambie kitu wewe ni moja kati ya watu ninaowaheshimu sana humu jamvini kutokana na michango yako mingi kuwa ya maana na ninatamani kuendelea kufanya hivyo please naomba usitumie ushabiki kwenye mambo ya msingi sioni sababu kwa nini taratibu zivunjwe eti tu kwa sababu wanataka kuwachanganya watu huku ikijulikana wazi tabia za baadhi ya vyama ni ndumilakuwili na wanatafuta umaarufu na kazi kutoka ccm.

Changia hoja na siyo ushabiki naipenda chadema na sina hata kadi ya uanachama
Nafanya hivyo kutokana na uelewa wake wa Demekrasia.
 
nakuunga mkono mkuu! kwa nini hizo kanuni zivunjwe ili kuwaingiza CUF ambao wana ndoa na CCm! hii hybrid inayoingia Afrika ya ndoa za kulazimishana inatupeleka wapi? Kenya, Zimbabwe, Zanzibar na sasa bunge letu! upuuzi mtupu!
 
kwa maslahi ya CHADEMA si ya taifa......

we MAKAMBA au KINGUNGE?!.hivi we hilo unaona lipo sahihi samahani kwa kusema nakufananisha na jaji/hakimu wa ICC kama sio Ngeleja.pole sana tunakazi ya kuwaelimisha watu kama wewe,nimekushanga sana huna tofauti na makinda
 
kwa maslahi ya CHADEMA si ya taifa......

Kwa kweli unajitahidi sana kuchangia ila labda nifahamishe mimi maslahi ya taifa kwenye suala hili ni nini? Mimi naelewa kanuni zote zilizokwisha wekwa bungeni zilitumia kigezo cha maslahi ya taifa. Sasa hayo maslahi mbona yanabadilika katikati ya shughuli za bunge hili na baada ya mnyukano?Ukifanya hila hata mtoto mdogo ambaye hana nguvu anakuona ila anamwachia Mungu. Na mtu mzima atakuuliza swali la msingi unafanya hila kwa maslahi ya nani? Mwishowe kitaishia kila mtu kufuata njia yake.Hapa kinachoendelea kwenye hili suala ni kupinda taratibu kwa masilahi ya kundi fulani, kwa bahati mbaya hata katiba imepindishwa kwa maslahi ya watu fulani si kwa masilahi ya taifa. NAWAUNGA MKONO CHADEMA KWA SABABU SIKU ZOTE UKWELI, HAKI NA JITIHADA SIKU ZOTE ZINA MAFANIKIO KWA SABABU MWISHO WA YOTE MUNGU ATAAMUA MWENYE HAKI NI NANI. USISAHAU KAULI ZA WENGI NI KAULI YENYE BARAKA KWA MUNGU KWA SABABU WANACHOKITETEA CHADEMA KINAELEWEKA KWA WENGI WETU
 
Here is the TRUTH, ni dalili za uroho wa madaraka!!!. nasikitika kwa kuwa hizo si dalili njema kwa chama chenye wasomi kam CDM tulichotarajia kisaidie kuunda timu imara ya upinzani bungeni. Dunia ya sasa is Teamwork that counts and that counts well.

Wewe si mtu sahihi kuwafundisha wabunge wa CHADEMA. Ungetumwa na wananchi kupitia sanduku la kura ningekuelewa.

Kwa bahati mbaya dunia yako ya sasa inaishia uani kwako. Usitake nikuelewe unafanya mchezo kwenye suala hili la msingi. Kama umetumwa uwe unajitahidi kufahamu maudhui ya aliyekutuma. Unadhalilisha ID yako. NASISITIZA INAELEKEA DUNIA YAKO YA SASA INAISHIA UANI KWAKO
 
Back
Top Bottom