People naombeni msaada wenu wakunisaidia kuunlock cmu yangu nokia 5230!!!

e2themiza

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
974
563
wajameni naombeni sana msaada wenu cmu yangu nimeletewa toka UK so iko locked na mtadao uliyokuwa unatumiwa kwny cmu hii kwa bahati mbaya cwezi sema ni mtandao gani uliolokiwa lakini naweza wapa imei yake na labda mnaweza kunisaidia unlocking code au wapi ninaweza kuzipata kwa bure maana nimechk kote na kupata code za kuunlock za uhakika ni lizama ununue soo kama kuna mtu yoyote anayeweza kunisadia hilo nita taanguliza shukurani cmu yenyewe ni;-
Nokia 5230 Xpress Music
na IMEI yake ni:351988044783638
 
Kesho asubuhi sana iwahishe sapna pale pota tatizo lako ni ladk kumi tu! Usipende kuweka IMEI hadharani watalaamu tunaweza kuitrack simu yako
 
wajameni wajameni bado naombeni msaada wenu wa hzo software na sasa nishajua cmu imelockiwa na mtandao gani ni wa the three uk naombeni sana msaada wenu
 
Back
Top Bottom