Penzi la Mtoto wa kizungu!

Data utachapwa wewe!! I want to offer you nini? lol.... Mwangalie kule... Hapo nilikua nakupa darasa usijudge sina maarifa wa ujuzi... Only my man is entitled to that...
Hapo ndo shida ilipo, mlete basi atuhakikishie?lol!
 
Mtoto wa kizungu yupi? wa Estonia, Scandinavia, Jerry-Springer type trailor trash wa Detroit, boonies wa milima ya West Virginia, Beverly Hills fund baby, Venetian socialite or russian mail order bride?

As much as Africa is not a nation, muzungu is not a nationality. And even if it were, the simplification of types ascribed to nationalities is only due to the poverty of our imagination and ignorance of our minds.
I second this...
 
Naona hawa wazungu wanatuzidi kila sasa mpaka mapenzi!

Mtoto wa kizungu ukimwambia i love you atakujibu hapo hapo kama ni yes au no hakuna kusumbuana!
Mtoto wa kibongo atakujibu nipe mda(hapa sijui huwa wanaenda kufikilia nini! Idadi ya ATM?)

mtoto wa kizungu mkiwa mnavunja amri ya sita atahakikisha mhogo wako hauozi mpaka alidhike na wewe aone uko hoi!
Mtoto wa kibongo ukipiga bao la kwanza anajifanya amezimia unahangaika mwenyewe kumsimamisha mdudu.

Aaah mtoto wa kizungu atakupa mwili wote uuchezee utakavyo! Anahakikisha anakupeleka bafuni kabla ya tendo! Na mambo yanaanzia huko huko, hadi kufika kitandani umisha achia mishale kama mitatu.

Aaah mtoto wa kibongo atahakikisha huoni kitu, ataficha hadi titi, anavua chupi tu, hata kukubusu anasuasua. Hajali kama dume umeoga ama la!

Hayo ni machache tu, nimeacha mengi ili nisiwakwaze wadada humu, hii nimeif
anya makusudi ili akidada mpate gadhabu na muongeze juhudi.

Your post is fraught with assumptions and stereotypes!
 
Mm niko na mzungu wangu anavolunteer bongo kutoka East virginia wako straight sana,kama hajaridhika hatoki .
 
watoto wa kizungu tasteless while wa kibongo dah........ ladha mule mule yan!
 
wathunguu wamepoaaa wabariiii...wakibongo wanajotooo
wathunguu hawavutiii hata wakikaauchii....wabongo full mvutoo ukionaaa nyumaa ya gotii tu
 
Amaa kweli we ndo TYPHOD.Unaonaje ukibakia uko uko kwa hao wadhungu wako wanao tambua hisia zako
 
Kama wewe ni Mtanzania kuanzia leo naukana utanzani wangu.Haya ni mambo ya hovyo sana.Umekosa vitu consructive vya kuwaza?
Naona hawa wazungu wanatuzidi kila sasa mpaka mapenzi!

Mtoto wa kizungu ukimwambia i love you atakujibu hapo hapo kama ni yes au no hakuna kusumbuana!
Mtoto wa kibongo atakujibu nipe mda(hapa sijui huwa wanaenda kufikilia nini! Idadi ya ATM?)

mtoto wa kizungu mkiwa mnavunja amri ya sita atahakikisha mhogo wako hauozi mpaka alidhike na wewe aone uko hoi!
Mtoto wa kibongo ukipiga bao la kwanza anajifanya amezimia unahangaika mwenyewe kumsimamisha mdudu.

Aaah mtoto wa kizungu atakupa mwili wote uuchezee utakavyo! Anahakikisha anakupeleka bafuni kabla ya tendo! Na mambo yanaanzia huko huko, hadi kufika kitandani umisha achia mishale kama mitatu.

Aaah mtoto wa kibongo atahakikisha huoni kitu, ataficha hadi titi, anavua chupi tu, hata kukubusu anasuasua. Hajali kama dume umeoga ama la!

Hayo ni machache tu, nimeacha mengi ili nisiwakwaze wadada humu, hii nimeif
anya makusudi ili akidada mpate gadhabu na muongeze juhudi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom