Peniela (Story ya kijasusi)

Hii ni story nzuri ukilinganisha na nyingi nyingine, ila tu ufuatiliaji wa muendelezo kuanzia mwanzo hadi mwisho ni mgumu kwa sababu sioni links zinazoonyesha episodes ili msomaji aende directly
 
Stori ilinitesa mpaka kila saa nilikukuwa nimeinamia simu aisee ni Kali balaa mpaka siku namaliza sikuamini siyo ya kukosa
 
Mwishoni mwa hii story sijasoma
yani tangu nione sijui mathew anasema ana hisia na peniela nmeichukia
bora nisingeisoma
mwisho wa hovyo kabisa.... peniela na ushenzi aliofanya sio wa kuonekana msafi mwishoni....
anita angefit nafasi na wapenzi kwa mThew
penny sikumkubali since kawagonganisha eli na jason
 
Umesema vyema Mathew alistahili kuwa na mwanamke mwingine tofauti na peniela
 
Mtunzi anapokwenda kinyume na matarajio ya hadhira yk!!! Hiyo ndo nzuri zaidi. Inaboa pale unapotazama au kusoma muvi AF stories yote ushsijua kabla hujafika mwisho utadhani una ubongo pacha na mtunzi. KAZI NZURI an CK. Ingawa mapungufu hayakosekani lkn dah.... Ni moto.
 
Sijui nilikuwa wapi sikushtukia hii hadithi

Wacha nijilie uhondo
 
Back
Top Bottom