Emmadogo
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,126
- 3,751
Bado PAPA si MunguHapo uko sawa, lkn kumbuka tunaongelea Kanisa Katoliki ambalo Mkuu wake ni Papa, ukitoka nje ya Kanisa Katoliki unaweza kumkwepa Papa lkn siyo ndani, na pia Kanisa Roma lina wafuasi 1.23 billion Duniani kati Binadamu Billioi 7, na hawa wote 1.24 billion Mkuu wao ni Papa!