Pengo aionya CCM: 'Usafi' wa Nyerere si wa chama!

Kwanini hawa Viongozi wengine hawawezi kuiga au hata kufuata maadili yake hasa kuhusu mpango wake wa Madini

Tanganyika tungekuwa mbali
 
1. Jimbo gani tena wakati tayari ni mkuu wa jimbo kuu la Dar es salaam? Unamjua au unamsikia Pengo? Ndiye mtanzania pekee mwenye kufahamika wazi kuwa na uraia wa nchi mbili na hakuna anayemsumbua (badala yake mnamsumbua mtu mdogo kama Nyalandu). Ni sawa na mbunge katika baraza la Vatican so hahitaji ushauri wa barux2 kutafuta jimbo. Duniani ana heshima kubwa zaidi ya rais wako JK au Shein. Anaendesha mradi mkubwa wa elimu na afya kisiwani Mafia na kuwahudumia maelfu ya waislamu na hata serikali imekiri bila Pengo hali ya kisiwa cha Mafia ingekuwa ngumu. Sasa wewe ***** unaropoka nini?

2. Mtu yeyote mwenye akili timamu alimuunga mkono Dr Slaa uchaguzi uliopita. Sasa tusiongelee uliopita bali tuongelee uchaguzi ujao. Kama Pengo angelikuwa mchadema asingelipinga maandamano ya chama hicho. Hili ameliongea juzi juzi (x-mas) kuwa haki isidaiwe kwa maandamano.

3. Kama anauza dawa za kulevya unashindwa nini kwenda kumkamata? Mbona yule askofu wa kilokole tayari yuko jela? Acha upupu bana!
nani kakuambia eti lengo la pengo ni kutoa misaada huko mafia? kubwa lililompeleka pale ni kwenda kutafuta jinsi ya kuritadisha watu tu. Na wala hawatawaridhia.......
 
Nyerere anastahili kuitwa mwenyeheri. Angalia maisha yake, alilipenda taifa lake na watu wake upeo. Aliweka maslahi ya watu wake mbele ba hata akafa masikini wakati alikuwa na uwezo wa kuchota pesa ikulu kwa ajili ya watu wake. Kama bibadamu alikuwa na dhambi lakini aliishi maisha ya utakatifu
 
Back
Top Bottom