Pendo la kwanza?

jobseeker

Member
Feb 25, 2012
70
7
Habari za week end wana JF?

Naomba kuuliza wana jamii hususan wa kike jee ya wapenzi wao wa mwanzo.

Kuna rafiki yangu ana mke na wameoana kwa miaka 6 bila ya matatizo yeyote yale.
Ila mwezi uliopita katika tembea tembea zao walikutana na mtu ambae alikuwa mpenzi
wa kwanza wa mkewe na ambao walikuwa wakikaa mtaa mmoja huko nyumbani. Kwa vile
hawa jamaa hawakuwa wakijuana wife aliwatambulisha lakini hakumwambia mumewe kuhusu
mahusiano yao waliokuwa nayo hadi alipofika nyumbani.

Tatizo limeanza hapa, kwanza wote wanaishi mji mmoja hapa, ingawa wife amemuhakikishia
mumewe kuwa huyu jamaa ni history lakini jamaa ana wasi wasi kuwa mkewe atashindwa
kujizuia pindipo pale mpenzi wake wa mwanzo akitaka kukumbusha mchezo wao. Rafiki yangu
anasisitiza kuwa mwanamke yeyote yule huwa hamsahau aliemuanza, na siku yeyote anaekutana
nae na akaomba mchezo basi demu huwa lainika na kukubali, as long as waliachana kwa usalama
na amani.

Nimejaribu kila njia kumhakikishia hayo sio kweli, na pia kumwambia amsikilize mkeo juu ya msimamo
wake, lakini yeye anasema ni siri iliyo wazi kuwa hilo ni kweli kabisa na ndio hata kuna nyimbo inayokwenda
kama hivi:-
pendo ni pendo la kwanza, linalokupa taalima
ndio linalokufunza maji usiite mma

Jee anayoyasema mwenzangu ni kweli au ni maneno ya mitaani? mimi nahisi anaweza kijiharibia ndoa yake kwa
maneno ya mitaani tu.

Mnasemaje wana JF?
 
Hilo jambo lipo, ila namshauri huyo jamaa amwamini mkewe ili ndoa yao isiyumbe
 
Lazima atamgegedea mkewe kama ambavyo jamaa anagegeda wale alioanza nao mahusiano thats why anahisi atafanyiwa kile anachowafanyia wanaume wenzake kwa wake zao. Over
 
Sio lazima kama mwanamke na msimamo
Wengine hata hatuwazii wapenzi wetu wa kwanza.tunaenjoy tu mgegedo wa baba watoto
 
hapo nikugegedewa tuu....ndio maana unatakiwa ukioa mtoa mke kwenye enviroment aliyokuwepo maana majamaa kama mzabzab tutakuwa tunasema hamna lolote huyu mwajuma sii tulikuwa tunamgegeda eti leo kaolewa....kumumbushia inakuwa number one on the agenda.

jamaa akamatie kimada pembeni...ulimwengu wa sasa ni kugegedana . ndoa zipo kwa heshima feki tuu
 
Habari za week end wana JF?

Naomba kuuliza wana jamii hususan wa kike jee ya wapenzi wao wa mwanzo.

Kuna rafiki yangu ana mke na wameoana kwa miaka 6 bila ya matatizo yeyote yale.
Ila mwezi uliopita katika tembea tembea zao walikutana na mtu ambae alikuwa mpenzi
wa kwanza wa mkewe na ambao walikuwa wakikaa mtaa mmoja huko nyumbani. Kwa vile
hawa jamaa hawakuwa wakijuana wife aliwatambulisha lakini hakumwambia mumewe kuhusu
mahusiano yao waliokuwa nayo hadi alipofika nyumbani.

Tatizo limeanza hapa, kwanza wote wanaishi mji mmoja hapa, ingawa wife amemuhakikishia
mumewe kuwa huyu jamaa ni history lakini jamaa ana wasi wasi kuwa mkewe atashindwa
kujizuia pindipo pale mpenzi wake wa mwanzo akitaka kukumbusha mchezo wao. Rafiki yangu
anasisitiza kuwa mwanamke yeyote yule huwa hamsahau aliemuanza, na siku yeyote anaekutana
nae na akaomba mchezo basi demu huwa lainika na kukubali, as long as waliachana kwa usalama
na amani.

Nimejaribu kila njia kumhakikishia hayo sio kweli, na pia kumwambia amsikilize mkeo juu ya msimamo
wake, lakini yeye anasema ni siri iliyo wazi kuwa hilo ni kweli kabisa na ndio hata kuna nyimbo inayokwenda
kama hivi:-
pendo ni pendo la kwanza, linalokupa taalima
ndio linalokufunza maji usiite mma

Jee anayoyasema mwenzangu ni kweli au ni maneno ya mitaani? mimi nahisi anaweza kijiharibia ndoa yake kwa
maneno ya mitaani tu.

Mnasemaje wana JF?

usijifanye ni rafiki yako hii imekutokea ww po
 
Hilo jambo lipo, ila namshauri huyo jamaa amwamini mkewe ili ndoa yao isiyumbe

Kwa hiyo amwamini kwa kuwa halitatokea au amwamini ili ndoa idumu? Hivi unajua unachoongea? Hivi kwa akili yako unaweza kujiamuru kuamini?
 
hajiamini na kazi yake huyo, wa kwanza ndo nn kwan jaman, anaweza kuwa wa kwanza lkn wa sasa ndo anaweza migegedo kuliko wa kwanza, sasa unafuata nn kwa wakwanza.
 
hajiamini na kazi yake huyo, wa kwanza ndo nn kwan jaman, anaweza kuwa wa kwanza lkn wa sasa ndo anaweza migegedo kuliko wa kwanza, sasa unafuata nn kwa wakwanza.

wewe kumbe unajua kabisa kuwa migegedo ndio jambo la msingi...jamaa atakuwa atashindwa
 
wewe kumbe unajua kabisa kuwa migegedo ndio jambo la msingi...jamaa atakuwa atashindwa

Yeah mgegedo ndio mpango mzima utakuta hata huyo wa kwanza hakuwa mtaalam kiivyo,so kama baba watoto anakupa vitu vya nguvu na kukuchosha hasa utamuwaza saa ngapi huyo first BF.
Mtoa mada mwambie jamaa yako kama anawasiwasi aongeze dozi za kutosha kwa mama watoto
 
labda pafomance yake kitandani hajiamini kama anamtuliza mashetani yake kwa 100% mwanamke yeyote ukimtuliza kitandani na kumuonyesha macaring hata kama ya kujifanyisha,hatoki nje ng'o....cha kufanya mwambie achill tu kwani akimuacha mkewe atamuoa nani mwingine wanawake tupo hivyo hivyo huwezi kuishi kwa hofu
 
Ukisikia ndoa imeingiwa na bundi ndo kama hiyo,huyo mwenye mke akae mguu sawa maana ataona manyoya tu. It is very embarrassing kwa kweli kuiona jamaa alokuwa anamla mkeo,tena utambulishwe na huyohuyo anayejiita mkeo. Daaaah Mungu aniepushie mbali kwa kweli. Fumba fumbua mtu unaweza kuwa pressure aisee. So far mpe pole mwenye mke @ jobseeker
 
Wanasema mbwa uliwah kumfuga huwez kumwita akakataa kuja!!ombea jamaa asiyakumbuke ya zaman akikumbuka tu basi tena

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom