Asante ... Amen.Amen, Mungu akutane na haja ya moyo wako
Bado hahaWw tayari?
Haha sipati picha utakavyovunja kabatiHiyo siku kila mtu anapania kupendeza...naisubiri kwa hamu
Teh uache mapepe siku yenyeweSiku hiyo nitacheza kiduku cha kufa mtu
Ha ha ha! Safi sana.Haya endelea kujifunza........mi nasubiri hiyo siku nipige pamba kali za kijanja
Amen, Mungu akutangulie mwayaMbwembwe lazima.....huwezi kuwa km gogo
Yaani nimepania naamini ndani ya 2 yrs lazima nifanye kweli