Pendekezo: Waziri wa ulinzi jiuzulu!

NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,492
1,311
Waziri wamambo ya ndani anatakiwa kuwajibika kama mawaziri wengine waliwajibishwa kwa udhaifu katika wizara zao.

Hii wizara ya mambo ya ndani imeonyesha udhaifu katika ulinzi wa raia na kupelekea raia tuliowengi kuwa na hofu kufuatia kitendo cha kinyama alichotendewa dr ndani ya nchi yetu yenye amani tele kama tunavyojiita.

Si semi wizara inahusika na unyama huu bali wameonyesha uzembe na udhaifu ambao hauhitaji ushahidi zaidi.
 
NATA, Lazima utakuwa umechemka anayehusika na usalama wa raia na mali zake ni waziri wa mambo ya ndani na wala si waziri wa ulinzi! Kwakukusaidia waulinze yeye anahusika na mipaka yanchi dhidi ya maadui wa nje na majeshi yake ni JWTZ na JKT tu. Jipange na uingie upya.
 
Ni kweli MAPANGA nilikuwa na maanisha waziri wa mambo ya ndani
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom