20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 7,981
- 6,780
Kulindana ndiyo mfumo stahiki, Wewe imagine una mdogo wako au jirani yako wa karibu...Maisha hapo nyumbani yatakuwaje?! "hofu, wasiwasi na mishtuko fulltime"
Wazi mkuu. Upendo na ushirikiano vikiwepo amani itatawala