Pendekezo: Mahakama ya mafisadi ianze na kashfa hizi

Nani atamshtaki nani? Je weweza kujifungulia mashtaka ya jinai wewe mwenyewe na washirika wako, halafu wenyewe muwe walalamikaji pia mashahidi?
 
Nani atamshtaki nani? Je weweza kujifungulia mashtaka ya jinai wewe mwenyewe na washirika wako, halafu wenyewe muwe walalamikaji pia mashahidi?

mkuu,

hilo kwa tz, sitoshangaa kutokea.

lile la lugumi walitumia kamati teule kumsafisha mtuhumiwa...
ivyoivyo hiyo mahakama ya mafisadi itatumika kuwasafisha wengine na kuumiza wengine (wapinzani)...

rejea hukumu, aliyopata mramba hadi kuwa na kifungo cha kufanya kazi za kijamii...
 
UUzwaji wa nyumba za serikali enzi za JK nani anahusika na kashfa hiyo?
 
mkuu,

hilo kwa tz, sitoshangaa kutokea.

lile la lugumi walitumia kamati teule kumsafisha mtuhumiwa...
ivyoivyo hiyo mahakama ya mafisadi itatumika kuwasafisha wengine na kuumiza wengine (wapinzani)...

rejea hukumu, aliyopata mramba hadi kuwa na kifungo cha kufanya kazi za kijamii...
Kweli
 
Asilimia kubwa ya kashfa zilizotajwa zinawahusisha maofisa waandamizi wa serikali na hao hao ndio watakaohusika kama walalamikaji na mashahidi.
Mfano mmoja ni escrow, kuanzia serikali, bunge na mahakama kuna watuhumiwa kwa kutajwa kwenye vyombo vya habari. Zaidi ya yote, serikali ilitamka kuwa fedha hazikuwa za uma. Nani atafungua kesi ya jinai? DPP anafanya kazi ya nani?
 
Mtoa hoja naona unataka kuisambaratisha ci -ci -em yetu. Huwezi kugusa kashfa yeyote kati ya hizo bila kukigusa chama chetu. Kumbuka tunauhitaji umoja na mshikamano wetu zaidi ya wakati wowote ule tangu uasisi wa chama chetu. Maana sasa tunapita kwenye bonde la kivuli.......!!

Hayo yameshapita, hatutaki kufukua makaburi - ila watakaiba sasa ndiyo hiyo mahakama tumewajengea.
 
Back
Top Bottom