Pendekezo: Katibu mkuu wa CHADEMA awe Benson Kigaila

desertfox

JF-Expert Member
Oct 4, 2014
347
243
Nampendekeza benson kigaila mkurugez wa opereshen na mafunzo kuwa katibu mkuu chadema sababu yupo nje ya bunge ataweza fanya shughul za chama vzr pia anauwezo wa ushawishi na nimzoefu wa kaz ila acoperate na bavicha ai inue upya maana ni km ciioni kwny siasa tena
 
Ataafaa jaman con wengine uyo salum cdhan km atahimili mshindo
 
Ficha ujinga, wako

Kama mnaona ujinga, basi kifanyeni chama kionekane kitaifa sio kikanda, haiwezekani chama kizima nafasi zote za juu ziwe za kanda moja, Halafu mlazimishe Watanzania tukiamini, mbona nyinyi mmeshindwa kuwaamini wanaotoka nje ya kanda yenu?
 
Ficha ujinga kwa mara nyingine
 
Naona apewe Mbatia.....kwan alikijibia vizuri kipind cha mashambulizi ya Dr Slaa ( najua kua yupo nccr)
 
kama muislam na hatokei katika kanda yetu basi hatufai. Hata Salum Mwalim pale alipo ndipo kilele chake kisiasa
 
Back
Top Bottom