Pendekezo: Dr. Ulimboka asitibiwe tena hapa Tanzania, atibiwe nje ya nchi

Sessy

Senior Member
Jun 16, 2012
118
11
kutokana na habari tunazozipata inaonekana kwa namna moja au nyingine serikali imehusika na tukio hili.... walikuwa wanajua wameshamuua kumbe mzima kwa hiyo napendekeza huyo dr apelekwe kutibiwa nje ya nchi kwa usalama wake ...kuepusha madhara ya kupewa sumu na hawa mafia
 
Alichokua akipigania ni hiki kitu

Hospitalini wagonjwa wanalala chini sasa naona una upungufu wa akili kwa kuona mgomo wa madaktari hauna tija.

attachment.php
 
Hapana atibiwe hapahapa ikiwa atakufa basi kifo chake kitasadifu kile alichokipigania .....hata huko nje umesahau kwamba hawa mafia walimuua hata Julius kambarage nyerere?
 
Mkuu kuna tofauti kidogo kati ya nyerere na dr.ulimboka pia kwa halisi kwa sasa ni tete
Hapana atibiwe hapahapa ikiwa atakufa basi kifo chake kitasadifu kile alichokipigania .....hata huko nje umesahau kwamba hawa mafia walimuua hata Julius kambarage nyerere?
 
Hapana siungi mkono hoja, huko nje itakuwa rahisi sana mafia kumpata kwani Uli atakuwa hajazungukwa na wanaharakati na jumuia ya madaktari Au na wewe umetumwa uvuruge thinking ya watu? una pepo? ushindwe. Hatushindwi kumchangia comred Dkt. Uli akapata first class treatment popote pale. Kikubwa ni treatment na security yake. Maana watahitaji kummalizia. Hapa wanammezea mate kama mamba anavyokuwa mawindoni. Wameshindwa!!! Labda wajipange upya. Hawawezi. Lucifer wakubwa!!!

Kikubwa kujiuzulu kwa 'Beuty and the Beast' hawafai kuongoza wanadamu, labda waongoze kunguru wa Pemba!!
 
Wa port Dr Uli, utapona kama Daniel alivyoibuka kidedea kwenye tundu la simba na utaishi ili adui zako washuhudie jinsi Mungu anavyokuinua'
 
Mkuu kuna tofauti kidogo kati ya nyerere na dr.ulimboka pia kwa halisi kwa sasa ni tete

Ni kweli Comrade sikufanya comparison kwa kigezo cha Status lakini sesy kama waliweza bila kuhofia status ya mwl vp ya ulimboka si itakuwa rahis sana ...........these questions must be answered by the gov tukio hili limeacha maswali mengi kuliko majibu
 
NI kweli mkuu lakin mpaka wamempiga kote huko una uhakika gani kama hawakumpoison jamani tumuombee tuu mungu kwani kwa nguvu zetu sisi binadam hatuwezi...lakini anaweza pona kwa miujiza ili aendelee kutetea maisha ya wanyonge...
 
kutokana na habari tunazozipata inaonekana kwa namna moja au nyingine serikali imehusika na tukio hili.... walikuwa wanajua wameshamuua kumbe mzima kwa hiyo napendekeza huyo dr apelekwe kutibiwa nje ya nchi kwa usalama wake ...kuepusha madhara ya kupewa sumu na hawa mafia

Anza kuchangia hela siyo kutoa mapendekezo hewa tu. Matibabu ya nje ni gharama mkuu
 
kutokana na habari tunazozipata inaonekana kwa namna moja au nyingine serikali imehusika na tukio hili.... walikuwa wanajua wameshamuua kumbe mzima kwa hiyo napendekeza huyo dr apelekwe kutibiwa nje ya nchi kwa usalama wake ...kuepusha madhara ya kupewa sumu na hawa mafia

Nimeisoma ha hii asante sana!.
 
mkuu katika kitu kilichoniumiza hii babari ya dk ulimboka kutekwa nimeomge hivi kulingana na taarifa zinazokuja javini kuwa kuna usalama wa taifa ambao walikuwa muhimbiri na kuwasiliana na watu ambao hatujui ni nani kuwa bado mzima hii inamaanisha kuwa bado wanamfuatilia na kutaka kummalizia ndio maana nikatoa hili pendekezo
Hapana siungi mkono hoja, huko nje itakuwa rahisi sana mafia kumpata kwani Uli atakuwa hajazungukwa na wanaharakati na jumuia ya madaktari Au na wewe umetumwa uvuruge thinking ya watu? una pepo? ushindwe. Hatushindwi kumchangia comred Dkt. Uli akapata first class treatment popote pale. Kikubwa ni treatment na security yake. Maana watahitaji kummalizia. Hapa wanammezea mate kama mamba anavyokuwa mawindoni. Wameshindwa!!! Labda wajipange upya. Hawawezi. Lucifer wakubwa!!!

Kikubwa kujiuzulu kwa 'Beuty and the Beast' hawafai kuongoza wanadamu, labda waongoze kunguru wa Pemba!!
 
alichokua akipigania ni hiki kitu

hospitalini wagonjwa wanalala chini sasa naona una upungufu wa akili kwa kuona mgomo wa madaktari hauna tija.

attachment.php

i wish picture hii itoke front page ya gazeti... Kuelezea hali halisi....
 
Wawa jamaa wali waua wafuasi wa chadema tukanyamaza,walitaka kuwaua wabunge wa chadema mwanza tukanyamaza sasa walitaka kumuua Ulimboka.Wanzanzania tuamke tuseme inatosha.
 
KAMA HAKUFA HUKO MSITUNI MABWE PANDE?, BASI MUNGU ANA MAKUSUDIO YAKE JUU YA MTU HUYU! HATA WAKIMPA LITA 10 ZA SUMU ILI AFE, KAMA MUUMBA JUU ALIYEMPA PUMZI AKISEMA NO, HAKUNA KITAKACHOMDHURU! MUNGU AKUPONYE ULIMBOKA, ADUI ZAKO NA WA NCHI HII WAAIBIKE!' Hii serikali hii........... ni bora kuishi kusadikika ujue unajitawala!
 
kutokana na habari tunazozipata inaonekana kwa namna moja au nyingine serikali imehusika na tukio hili.... Walikuwa wanajua wameshamuua kumbe mzima kwa hiyo napendekeza huyo dr apelekwe kutibiwa nje ya nchi kwa usalama wake ...kuepusha madhara ya kupewa sumu na hawa mafia

kweli ndugu wasije waka-mmwakyembe!
 
Back
Top Bottom