pendekeza majina ya mapacha watarajiwa wa Erotica

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,257
12,877
hellow mum Erotica, kwanza hongera na pole kwa kuwalea hao mapacha tumboni.
nawaomba wana chitchat tumsaidie kumchagulia majina ya twins wake. mi napendekeza majina haya. . .
1. patrick & patricia
2. daniel & daniella
3. antony & antonia . . . haya majina ni kwa twins ambao ni msichana na mvulana. kwa wavulana pekee
1. peter & paul
2. alvin & elvis
3. erick & derick. . . kwa mapacha wa kike pekeyake napendekeza
1. dorice & doreen
2. beatrice & bertha
3. janeth & jenipha
 
Last edited by a moderator:
Ngoja niwawekee picha ya mapacha niliyopewa baada ya kupiga ultra sound kwa

Mzizimkavu pale jf doctor ili muweze chagua kwa wepesiiiiiiiii. mamito charminglady

asante kwa upendo wako, hii habari itawafurahisha Kaunga, na makungwito gfsonwin, cacico,

sweetlady na God mother wa watoto Elizabeth Dominic acha baba yao mlezi HYGEIA. Mwaaaaaaah.


tumblr_loukky4rlk1qed1eao1_500.jpg
 
Jamani ni wakike, so majina yawe ya kike kama
Cindy na Wendy.

Tungependa na majina ya kilugha/kitanzania yawe matamu lakini.

Thanx CharmingLady for thinking ahead.
 
Jamani ni wakike, so majina yawe ya kike kama
Cindy na Wendy.

Tungependa na majina ya kilugha/kitanzania yawe matamu lakini.

Thanx CharmingLady for thinking ahead.

asante mamie,kumbe ni wa kike basi mchakato unaendelea kwa majina ya kike tu!
 
najivunia kuwa mtanzania
ya kiswahili
1. matatizo-tizo
2 chausiku-cheusi
3 shinda-sindano
4 mwajuma-juma
5 majaaliwa-jaalia
yapo mengi watanzania halisi nisaidieni mengine
yakienyeji sasa naanza kutirika hivi:

1 doi, kui,lusajo,tupo,tuku,mizengo,pinda,zitto,kayanza,kabwe,nyanda,nisaidieni
 
cindy na cierra! wa kwangu hao, wa mdogo wangu ni chartee na chantell! haya kazi kwako, lol!
 
Back
Top Bottom