Majina feki ya wasichana wa Dar

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
3,401
1,604
Wasichana wengi wa Dar wanatumia majina feki na hasa wakiwa Mlimani City au beach hata Wanyakyusa wanaoitwa kina Atupakisye hutumia majina yafuatayo:

1. Lisa
2. Doreen
3. Princilla
4. Candy
5. Noreen
6. Caroline
7. Brenda
8. Munilla
9. Irene
10. Jaquiline


Posted by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)
 
Watoto wakali wenye majina makali...akikutamkia jina lake kwa lafudhi ya kizungu tu kitu kinaanza kusimama taaaratibu...Hatari sana hii sheikh
 
Back
Top Bottom