Pendekeza jina zuri la band yangu ya Muziki

Furaha Musica au Burudani Band (BMB) su Starehe Band au Mbalamwezi Band au Chiriku Band
 
Sukari band, ili itukumbushe kipindi hiki cha ukata wa sukari
 
Guys,

Naomba mnipendekezee jina zuri la band ya Muziki ambayo itakuwa ikitumbuiza kwenye 5 Star Hotels tu. Wanabendi ni wazungu na waafrika wa mataifa ya nje na wabongo kidogo...mimi nikiwa mkurugenzi. Naomba kwa mwenye idea ya jina ambalo halitakuwa la kibaguzi in terms of race, diveristy na marketing stunts.

Regards

iite kutiana vidole jazz band.
 
Back
Top Bottom