Penda usipende wenye pesa pia wanagongewa wake zao kuliko maskini

Haya Mapenzi walinena wazee wa zamanii...
Ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndaniii...
Maskini roho yangu mimiii...
Roho yangu mimii...

By: Rich Mavoko.
 
Binadamu ni kiumbe wa ajabu sana ukimpa pesa atasema mapenzi sipati ukimpa mapenzi anataka pesa na kuna wengine hata uwape vyote still haridhiki,niwachache sana wanaosema navumilia mungu atanipa chenye kheir na mimi...wengi wanaishia kuchukuliwa na Shamba boy ,driver wao najiuliza why mpaka ifikie hapo jibu utasikia hana mda na mimi mara sijui yeye mbona ame cheat why not me? ilimradi tuombe stara lakini inatisha....
umenena
 
Inaonesha wengi wenu ni masikini mmekuja hapa kupeana moyo, we jidangamye na story za mtaani....
ukubali ukatae,huo ndio ukweli.Kuna mke wa Afisa mkubwa sana na mtu tajiri lakini anagongwa na kajamaa ka boda boda tu tu na amedata ile mbaya.
 
Kautafiti yakinifu nilichofanya ni kwamba wenye pesa pia ndo wanaongozwa kwa kugongewa wake zao.

Ila sijajua nini hasa kinapelekea wanawake watoe nje ukiwa maskini utagongewa na mwenye nazo ukiwa tajiri utagongewa na matajiri wenzio au shamba boy wako.

Aisee wadau embu tuchambue hii kitu.
Tena unakuta anakugegedea ni dereva wa boda au mang muuza duka
 
Back
Top Bottom