BAGAH
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 4,523
- 1,060
ni ukweli na wala sitanii waungwana,..
nilihisi, na nimeambia wazi, na hatimaye kuthibitisha
kuwa manzi (mtoto wa UDSM) wangu anachukuliwa na hawa vijana wanaojishughulisha na kuchezea kucha
na miguu ya akina mama/dada zetu...(ni jinsi gani nimethibitisha, ilo niachieni ila nipeni ushauri, niko serious wakuu)
nimemkataza kasema yeye hawezi kujitengeneza mwenyewe, so um thinking of learning the process za pedicure na manicure...lol
ishu nyingine ninayotaka kusema hapa, je ni nani mchokozi hapa:mteja au mhudumu?
maana mikao ya hawa wenzetu wakiwa katika iyo huduma utata mtupu...
lakini pia hawa wanaocheza na kucha na vidole nao wanajua jinsi ya kumkuna mtu na akasikia raha(uchokozi thing)
e bana mm naona chenga tupu!!