Pedicure na manicure: Hatari sana kwa ndoa zetu na mahusiano kwa ujumla wake!

Hiyo ya kusafisha kucha ni cha mtoto. Ukiwaona wale Wamasai wanaotoa huduma ya kusuka nywele, mikao yao na namna wanavyowagusa akina dada na hizo ndude zao hutaamini. Dada anagusishwa kitu kikiwa kimevimba kama pembe ya faru na anasikilizia pasipo pingamizi lolote. Mwisho wa siku Mmasai akiomba kumega hakuna mjadala kabisa!!!!
 
Hii haijakaa sawa sana kwa kweli as yule dada na miwani hajatoa ili asimuonee aibu???? Smiling comfortably......just imagine ndo umempa pesa ya shopping we katika mihanjo yako unamkuta pale full relaxed mtoto wa kike.

Ana uhuru n she has to be smart.....afanye tu hayo mambo BUT look ile picha ya mwanaume akifanyiwa na mwanamke a bit official (by apperance) so hapo ni suala la
1. Jinsi inavyofanyika
2. Mteja naye awe serious as hapa power relation ina matter sana

My take hawa jamaa wao husikilizia mteja anataka nini...kama anapenda kutekenywa basi tena usishangae ukamkuta b dada anasuguliwa nyayo kwa kitana.....n vice versa.

Thus wadada muende hapo na sura ya kazi bana
 
kama anajua kabisa hisia zake ziko uko kwa nini bado anaenda? hivi zamani kabla haya mambo hayajaja nani alikuwa anatusugua miguu yetu? afu akiwa anakupaka rangi awezi kukutekenya miguu otherwise uwe umemwambia akuoshe miguu hapo sawa ndo kuna kutekenyana na swala la kuosha miguu you can do it at home ni kuwa na vifaa tu.

Hapo ningekuwa mimi baada ya kushika shika miguu naenda kumaliza chooni narudi kutafuta cha pili.
Yaani ni njia nzuri ya kukwepa ghalama hapo unakwepa kuhonga, unakwepa kulipia chumba n.k badala yake wewe unalipwa kwa kushika shika miguu tena iliyo jaa jaa kama tembo
 
Hiyo ya kusafisha kucha ni cha mtoto. Ukiwaona wale Wamasai wanaotoa huduma ya kusuka nywele, mikao yao na namna wanavyowagusa akina dada na hizo ndude zao hutaamini. Dada anagusishwa kitu kikiwa kimevimba kama pembe ya faru na anasikilizia pasipo pingamizi lolote. Mwisho wa siku Mmasai akiomba kumega hakuna mjadala kabisa!!!!

So funny!
 
ni ukweli na wala sitanii waungwana,..
nilihisi, na nimeambia wazi, na hatimaye kuthibitisha
kuwa manzi (mtoto wa UDSM) wangu anachukuliwa na hawa vijana wanaojishughulisha na kuchezea kucha
na miguu ya akina mama/dada zetu...(ni jinsi gani nimethibitisha, ilo niachieni ila nipeni ushauri, niko serious wakuu)
nimemkataza kasema yeye hawezi kujitengeneza mwenyewe, so um thinking of learning the process za pedicure na manicure...lol

ishu nyingine ninayotaka kusema hapa, je ni nani mchokozi hapa:mteja au mhudumu?
maana mikao ya hawa wenzetu wakiwa katika iyo huduma utata mtupu...
lakini pia hawa wanaocheza na kucha na vidole nao wanajua jinsi ya kumkuna mtu na akasikia raha(uchokozi thing)

e bana mm naona chenga tupu!!

pale mwenge hatari sana....
 
masaaibc.jpg

hii nayo... wamekuja mjini kusuka sio kulinda na kuuza dawa.. ila hawa jamaa na stail yao ya nywele ni profesional au?
 
mie sioni tabu kama tabia ya mtu ni hiyo huwezi mbadilisha.... ss nawewe unapokwenda kunyoa nywele kule saluni kwenu wale wadada wanaowasafisha uso mbona huwa naweka vichwa vyenu ktk ya maziwa yao wakati mnasuguliwa uso mbona sie hatusemi!!!
 
Hapo ningekuwa mimi baada ya kushika shika miguu naenda kumaliza chooni narudi kutafuta cha pili.
Yaani ni njia nzuri ya kukwepa ghalama hapo unakwepa kuhonga, unakwepa kulipia chumba n.k badala yake wewe unalipwa kwa kushika shika miguu tena iliyo jaa jaa kama tembo

Ingekuwa ww nn?
jifunze kutengeneneza hizo kucha
ili ufanye hayo unadhani ni rahisi kufanyika.
Eti kumaliza chooni. Kichefuchefu
 
ni ukweli na wala sitanii waungwana,..
nilihisi, na nimeambia wazi, na hatimaye kuthibitisha
kuwa manzi (mtoto wa UDSM) wangu anachukuliwa na hawa vijana wanaojishughulisha na kuchezea kucha
na miguu ya akina mama/dada zetu...(ni jinsi gani nimethibitisha, ilo niachieni ila nipeni ushauri, niko serious wakuu)
nimemkataza kasema yeye hawezi kujitengeneza mwenyewe, so um thinking of learning the process za pedicure na manicure...lol

ishu nyingine ninayotaka kusema hapa, je ni nani mchokozi hapa:mteja au mhudumu?
maana mikao ya hawa wenzetu wakiwa katika iyo huduma utata mtupu...
lakini pia hawa wanaocheza na kucha na vidole nao wanajua jinsi ya kumkuna mtu na akasikia raha(uchokozi thing)

e bana mm naona chenga tupu!!

well bro pole lakini ukumbe yafuatayo
1.wanawake wa sasa hivi sio kama wa zamani, wanawake sasahivi wanauwezo wakijitatulia shida zao za kiuchumi tofauti na wale wazamani ambao wao walikuwa na utegemezi mkubwa kwa wanaume hivyo kuwafanya kiburi chao kitulie.swali;wanawake wanataka nini sasa
jibu;mikuno.
2.ninaposema mikuno sina maana ya kuwa ni kubofyabofya tu kwa dk 30 bali ni kuanza kwa kuufurahia uzuri wake kwanza kitu ambacho hao jamaa wamekuzidi kwa kuufurahia uzuri wa demu yako ambacho ndio kitu kikubwa mwanamke anachopenda(casanova pointof view)
3.cha kufanya sasa ni kujifunza namna ya kuuongeza mikuno zaidi kwana walejamaa wanachokuzidia ni jinsi wanavyoweza kumchengua demu kwa kushika miguu tu mikono
 
mie sioni tabu kama tabia ya mtu ni hiyo huwezi mbadilisha.... ss nawewe unapokwenda kunyoa nywele kule saluni kwenu wale wadada wanaowasafisha uso mbona huwa naweka vichwa vyenu ktk ya maziwa yao wakati mnasuguliwa uso mbona sie hatusemi!!!
Hua inakukera? Si useme basi?
 
masaaibc.jpg

hii nayo... wamekuja mjini kusuka sio kulinda na kuuza dawa.. ila hawa jamaa na stail yao ya nywele ni profesional au?
hawa nao kama sio wasafi,..kichefchef, maana wanatema harufu balaa..
na walivyoachama miguu na mashuka yao hivyo,..duh nao nusu uchi tu
 
Mahusiano kama ilivyo Biashara , ni imani.
Ukiwekeza mtaji mdogo na faida ( ceteris paribus) huwa ni ndogo.
Na kwa vile mambo haya yote yanatokana na jamii kuwa dynamic, ( sikumbuki kuwaona wamama wanafanya pedicures za kihivi miaka ya 1978) basi , inabidi tu ukaze roho , umeze mfupa.
 
Ila hiyo ya kusuka na wamasai kiukweli, mie mwenyewe being the 'kusuka-type-gender', lakini sihusudishi.
Maana mmmh.
Ndio hayo ya ukipenda boga upende na ua lake. Hizo sangita wanazosuka karibu siku nzima halafu ndio uko jirani na kaptula ambayo Mungu ajua lini ilikutana na H2O kwa mara ya mwisho, achilia mbali yale mafuta ya ng'ombe wanayojisinga, mweh!
Ukitaka uzuri ....
 
Nililazimika kununua vifaa vya kufanyia hiyo kitu ili kuondoa possibility kwa Mama Ngina kwenda kutafuta huduma hiyo nje ya nyumbani.
Ni vyema kuchukuwa tahadhari, maana usisubiri kuambiwa, "Ni shetani tualinipitia wallahi"
 
Back
Top Bottom