pedeshee hartman back to wife

he he shem hapana unajua wananifurahisha sana vijimambo vyao,mmh hiyo avatar vp?umekuja kivingine naona.

nilidhani ni vizuri kushea na ninyi 'family potrait' yetu shem au??

anyway; haya majina bwana na umaarufu usipokuwa na akili na utulivu unaweza kufanya mambo mpaka watu wakajiuliza kweli huyu akili zake zimo??

kumbe mwenzao umelewa 'umaarufu'
 
Mshamba saaana huyu jamaa nilipokuwa sijamjuwa awali nilimpatia heshima kubwa kumbe bonge la *****
 
Back
Top Bottom