Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli

Aliyekuwa RC wa Dar es salaam, Paul Makonda anasema kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua.

Ameandika hayo kupitua ukurasa wake wa Instagram na kusema Makundi hayo ni pamoja na Wauza Madawa ya kulevya, mashoga nk

Ameandika “
Nafahamu kuna mkakati unaoratibiwa na Makundi 5 kuangamiza maisha yangu.

1) WAUZA MADAWA YA KULEVYA
2)WANUFAIKA NA MADAWA YA KULEVYA
3) MASHOGA
4)WANAOKESHA USIKU KUCHA KUTAFUTA KULIPA KISASI KWA WASAIDIZI WA DR MAGUFULI.
5) WALIOWAHI KUWA SEHEMU YA ……. Nafahamu pia juu ya mbinu zinazoandaliwa ili kuniuwa kwa faida ya familia zao pamoja na kutengeneza mashaidi wa uongo ili mnipe kesi ya uhujumu uchumi.

Mambo mawili najiuliza

1)PAMOJA NA KAZI ZOTE NZURI NILIZOZIFANYA KWA CHAMA CHANGU,SERIKALI YANGU NA WANANCHI WA DAR HAYA NDIYO MALIPO YAKE?

2)Hakika ukiwa mtumishi mwaminifu unaetetea haki za wanyonge tena ukitokea kwenye familia masikini haya ndiyo malipo yake ?

MTU aliejemga hospital , aliejenga ofc cha CCM, Magari ya police 👮‍♀️, ofc za Walimu, vituo vya police, shule za secondary mpaka na msingi, kutibu wagonjwa mpaka Meli kuja Tanzania,kuhudumia Makundi mbali mbali mpaka kuiunganisha Serikali na Viongozi wa Dini. leo hii naonekana eti natakiwa kunyongwa.

Pamoja na kwamba lipo kundi kwenye mitandao linalolipwa ili kuwaanda watanzania pale watakapo nikamata ionekane ni sawa. Hakika ipo siku Walemavu, yatima, wajane na waliotamani watoto WAO wasife kwa MADAWA ya KULEVYA SAUTI ZAO ZITASIKIKA.

#Ukiona maji yametulia jua kina nikilefu.”

Yaani kwa ujambazi aliokuwa anafaunya pamoja na ule ubabe kwake ilikuwa ni kazi iliyotukuka. Hii dunia ina maajabu mengi.
 
Unalia nini rafiki, ulishindwa nini kutumia bahati ulioipata kwa mzee sita ukala mema ya nchi taratibu, hivi Kweli Makonda umesahau dagaa na mawese pale Kwembe?, umesahau siku unanishikilia nilipopata ajali ya kuchomwa na mti upendo wako huo uliiupeleka wapi hadi ukawa mtu usiefaaa?.

Najiuliza maswali mengi na sina majibu ila Mungu yupo
 
Aliyekuwa RC wa Dar es salaam, Paul Makonda anasema kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua.

Ameandika hayo kupitua ukurasa wake wa Instagram na kusema Makundi hayo ni pamoja na Wauza Madawa ya kulevya, mashoga nk

Ameandika “
Nafahamu kuna mkakati unaoratibiwa na Makundi 5 kuangamiza maisha yangu.

1) WAUZA MADAWA YA KULEVYA
2)WANUFAIKA NA MADAWA YA KULEVYA
3) MASHOGA
4)WANAOKESHA USIKU KUCHA KUTAFUTA KULIPA KISASI KWA WASAIDIZI WA DR MAGUFULI.
5) WALIOWAHI KUWA SEHEMU YA ……. Nafahamu pia juu ya mbinu zinazoandaliwa ili kuniuwa kwa faida ya familia zao pamoja na kutengeneza mashaidi wa uongo ili mnipe kesi ya uhujumu uchumi.

Mambo mawili najiuliza

1)PAMOJA NA KAZI ZOTE NZURI NILIZOZIFANYA KWA CHAMA CHANGU,SERIKALI YANGU NA WANANCHI WA DAR HAYA NDIYO MALIPO YAKE?

2)Hakika ukiwa mtumishi mwaminifu unaetetea haki za wanyonge tena ukitokea kwenye familia masikini haya ndiyo malipo yake ?

MTU aliejemga hospital , aliejenga ofc cha CCM, Magari ya police 👮‍♀️, ofc za Walimu, vituo vya police, shule za secondary mpaka na msingi, kutibu wagonjwa mpaka Meli kuja Tanzania,kuhudumia Makundi mbali mbali mpaka kuiunganisha Serikali na Viongozi wa Dini. leo hii naonekana eti natakiwa kunyongwa.

Pamoja na kwamba lipo kundi kwenye mitandao linalolipwa ili kuwaanda watanzania pale watakapo nikamata ionekane ni sawa. Hakika ipo siku Walemavu, yatima, wajane na waliotamani watoto WAO wasife kwa MADAWA ya KULEVYA SAUTI ZAO ZITASIKIKA.

#Ukiona maji yametulia jua kina nikilefu.”

Pumbavu huyu atulie dawa iingie.
Au kama vipi akimbilie marekani ajue ni kwanini ..
 
Mtu mwenye raha kuliko viumbe vyote duniani. Yaani jamaa kwa maneno yake alikuwa na raha kuliko Elon Musk na Bezos matajiri wa dunia..... Leo analialia kama mtoto.

Mtoto wa Koromije hajui maana ya raha. Kwake kuonja raha ndiyo akafikiri kuwa hiyo ndiyo raha kamili.
 
Ndugu yangu Makonda wewe bado una kiburi na hicho hakitakusaidia lolote kwa sasa..

Ulionywa sana na watu wenye hekima na busara wakati ule ulipokuwa na mamlaka na madaraka ya kiserikali..

Ulionywa kuacha kutumia madaraka yako vibaya ya kiserikali kuonea na kunyanyasa watu uliowaona wako kinyume nawe na aliyekuwa kinga yako - Mwendazake John P. Magufuli...

Uliishi maisha yako ya wakati huo kwa kulindwa na kumtegemea binadamu mwenzako anayekufa, kuzikwa na kuoza ardhini..

Leo huyo mtu uliyemtegemea hayupo, wewe upo. Msaada na kinga yako haipo. Sasa utafanya nini? Utaponea wapi?

Rafiki yetu Makonda shukuru Mungu kuwa wewe bado una neema ya kuwa hai. Mungu anakupenda sana. Acha kiburi. Mtii Mungu na maelekezo yake. Mungu hapendi watu wenye kiburi. Nyenyekea kwake naye atakuokoa na kukuponya na hatari iliyoko mbele yako..

Kulalamika hakukusaidii kwa sasa. Chukua hatua ya ujasiri. Kiri makosa yako kwa Mungu na wale uliowaumiza ambao machozi yao yamemfikia Mungu wa mbingu na nchi..

Watu ama binadamu hawawezi kukusaidia kwa lolote kwa sasa, jana wala hata hiyo kesho...

Athari au adhabu ya dhambi zako itakuandama popote utakapokuwa..

LAKINI UPO MSAADA BADO..

Msaada wako uko kwa Mungu - Yehova kupitia kwa YESU KRISTO pekee. Kimbilia huko. Omba msamaha. Tubu makosa yako. Mshirikishe na Mch. Gwajima pia ili afute maneno aliyokutamkia miaka minne iliyopita..

Ukishatubu, nenda hatua moja mbele zaidi. Rudisha mali za watu ulizonyang'anya au kuchukua kwa nguvu. Machozi ya watu hao yanakushtaki kila wakati mbele za Mungu. Utaponea wapi iwapo una kiburi cha kukataa kukiri makosa yako..???

Kumbuka NENO hili, kwamba, KILA DHAMBI INA ADHABU YAKE. Lakini ukitubu haraka, nguvu ya dhambi inakomeshwa na utabaki na maumivu na makovu ya dhambi..

Matokeo au madhara au makovu ya dhambi hubaki na hupona taratibu taratibu kwa Neema ya Mungu..

Hii ni natural principle...
 
Aliyekuwa RC wa Dar es salaam, Paul Makonda anasema kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua.

Ameandika hayo kupitua ukurasa wake wa Instagram na kusema Makundi hayo ni pamoja na Wauza Madawa ya kulevya, mashoga nk

Ameandika “
Nafahamu kuna mkakati unaoratibiwa na Makundi 5 kuangamiza maisha yangu.

1) WAUZA MADAWA YA KULEVYA
2)WANUFAIKA NA MADAWA YA KULEVYA
3) MASHOGA
4)WANAOKESHA USIKU KUCHA KUTAFUTA KULIPA KISASI KWA WASAIDIZI WA DR MAGUFULI.
5) WALIOWAHI KUWA SEHEMU YA ……. Nafahamu pia juu ya mbinu zinazoandaliwa ili kuniuwa kwa faida ya familia zao pamoja na kutengeneza mashaidi wa uongo ili mnipe kesi ya uhujumu uchumi.

Mambo mawili najiuliza

1)PAMOJA NA KAZI ZOTE NZURI NILIZOZIFANYA KWA CHAMA CHANGU,SERIKALI YANGU NA WANANCHI WA DAR HAYA NDIYO MALIPO YAKE?

2)Hakika ukiwa mtumishi mwaminifu unaetetea haki za wanyonge tena ukitokea kwenye familia masikini haya ndiyo malipo yake ?

MTU aliejemga hospital , aliejenga ofc cha CCM, Magari ya police 👮‍♀️, ofc za Walimu, vituo vya police, shule za secondary mpaka na msingi, kutibu wagonjwa mpaka Meli kuja Tanzania,kuhudumia Makundi mbali mbali mpaka kuiunganisha Serikali na Viongozi wa Dini. leo hii naonekana eti natakiwa kunyongwa.

Pamoja na kwamba lipo kundi kwenye mitandao linalolipwa ili kuwaanda watanzania pale watakapo nikamata ionekane ni sawa. Hakika ipo siku Walemavu, yatima, wajane na waliotamani watoto WAO wasife kwa MADAWA ya KULEVYA SAUTI ZAO ZITASIKIKA.

#Ukiona maji yametulia jua kina nikilefu.”

Tulia dawa iingie
 
Tanzania hatukutakiwa kabisa kuongozwa na mtu wa aina ya makonda hata kushika ubalozi wa nyumba kumi tu, hana akili, hana uwezo, wala hadhi ya kufanya hivyo. ilikuwa ni bahati mbaya sana mkoa wa dsm kuongozwa na mtu wa aina yake.
 
Wewe ndio mnafiki wa kwanza. Wakati Lissu analimwa risasi wewe ulisemaje?. Unafiki uje leo makonda kulialia anataka kuuwawa?. Makonda Ni mtu mbaya Sana ndio maana Wana CCM wa kigamboni walimpiga Chini
Hebu acha unafiki basi, sikuwahi kuzungumzia issuebya Lisu kupigwa risasi na sitakuja kuizungumzia maana kila mtu ana la kusema.

Sipo njia yako ya kutazama mtu mmoja nipo kwa kujifunza kupitia watu wengi ambao ndiyo unipa jibu la haki.

Wewe umemtazama Lisu mimi nawatizama wewe na wengine wengi hata wasiokuwepo.

Jifunze usifuate upepo, vijana mnafeli sana.
 
Fanyeni maovu muone kama vizazi vyenu havitaathirika. Mungu anasema huwabatiliza wana wa uovu hadi kizazi cha nne.
maovu gani?
nyie watu mnaropoka tu,mi sina huruma hata nahuyo jamaa alichotaka kakipata.
lakini mtoto,mkewe wala mtu yeyote jirani yake hahusiki hapa tuongee kuhusu yeye ,
hizo chuki mbaya mbaya ndo zilifanya rwanda huko kukawa hakukaliki.
unajua kilichotokea
 
Back
Top Bottom