Paul makonda anayoyafanya yanabaraka zote za viongozi wa juu watendaji wa serikali kuweni makini.

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,909
Nchi hii ina kero nyingi zinazoikabili na kero hizo zinatokana na watendaji wabovu ambao NI waajiriwa wa serikali na serikali hiyo huongozwa na chama cha ccm kwa hiyo mwenezi anapopita Kila sehemu akakutana na kero hizo lazima aelezwe na wananchi ili kutetea chama chake.
Sasa kama watendaji wa serikali wanamasharubu makubwa hawasikilizi wananchi na kupuuza maagizo ya mwenezi rungu linakuja nasikia huko kwa mama kuna pdf linakuja kufyeka wale makambale ambao hawatumikii wananchi.
 
Mwenyewe anasema kauli yake ni kauli ya President.

ANAMWAKILISHA SAMIA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Paul makonda asipuuzwe kwa wale ambao hawatimizi wajibu wao hatari ipo mbele ugali unaweza kumwagika.
 
Nchi hii ina kero nyingi zinazoikabili na kero hizo zinatokana na watendaji wabovu ambao NI waajiriwa wa serikali na serikali hiyo huongozwa na chama cha ccm kwa hiyo mwenezi anapopita Kila sehemu akakutana na kero hizo lazima aelezwe na wananchi ili kutetea chama chake.
Sasa kama watendaji wa serikali wanamasharubu makubwa hawasikilizi wananchi na kupuuza maagizo ya mwenezi rungu linakuja nasikia huko kwa mama kuna pdf linakuja kufyeka wale makambale ambao hawatumikii wananchi.
Huyu Makonda ni mropokaji tu na mtu wa misifa, hajatumwa wala hana baraka yoyote. Tangu aanze hizi drama zake, ni nani aliyekwisha chukuliwa hatua au kutenguliwa kwasababu Makonda kasema? Hana nguvu yoyote mbali na mikelele ya kutafuta kiki, mwambieni aende Tanesco basi tuondokane na kero ya umeme.
 
Pangani mkurugenzi vipi
 
Nimemshangaa yule anayesema yeye ana maboss wanne tu. Chama ni boss wa viongozi wote wa serikali, ndio maana ukivuliwa uanachama unapoteza nafasi zote.

Mwenezi akiongea ndio maagizo ya chama hayo, sasa wewe puuzia utatafuta chama chako kingine.
 
Nchi hii ina kero nyingi zinazoikabili na kero hizo zinatokana na watendaji wabovu ambao NI waajiriwa wa serikali na serikali hiyo huongozwa na chama cha ccm kwa hiyo mwenezi anapopita Kila sehemu akakutana na kero hizo lazima aelezwe na wananchi ili kutetea chama chake.
Sasa kama watendaji wa serikali wanamasharubu makubwa hawasikilizi wananchi na kupuuza maagizo ya mwenezi rungu linakuja nasikia huko kwa mama kuna pdf linakuja kufyeka wale makambale ambao hawatumikii wananchi.
Si tu Baraka za watendaji wakuu serikalini,
Bali pia,
Paul Makonda ana Baraka na Neema za Mungu
 
Mbona watu tunateseka na umeme hiyo serikali anayoiwakilisha mbona hatuoni inachukuwa jitihada zozote za kutatuwa tatizo la umeme?wakati mvua imebyesha kila kona ya nchi imejaa maji?wananchi amkeni tudai haki kwa nguvu ya umma.sisi ndo tunapata shida hawo wasemaje wa serikali wanastarehe tu
 
Bashe amekosea Sana kiburi na dharau vinaenda kumumaliza
 
Mbona watu tunateseka na umeme hiyo serikali anayoiwakilisha mbona hatuoni inachukuwa jitihada zozote za kutatuwa tatizo la umeme?wakati mvua imebyesha kila kona ya nchi imejaa maji?wananchi amkeni tudai haki kwa nguvu ya umma.sisi ndo tunapata shida hawo wasemaje wa serikali wanastarehe tu
Relax bana, unateseka wap ndugu,
mbona suala la umeme limetolewa maelezo ya kina aise...

🤣eti wananchi amkeni tudai haki kwa nguvu ya umma...

kutwa uko online huku unadai umeme 🐒
 
Back
Top Bottom