Paul Kimiti: Utaratibu wa mtu mmoja kutembea nchi nzima kufuatilia matatizo ya watu hauwezi kufanikiwa

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
13,830
18,570
Kumbe Paul Kimiti bado yupo?! Nimemsikia akizumzungumzia Lowassa kwa undani na amezungumzia mengi kuhusu uongozi wa nchi na wanasiasa.

Mheshimiwa Kimiti anasema viongozi wengi hawana misingi ya uongozi na hawana maarifa.

Bila kumtaja mtu, Kimiti amesema utaratibu wa kumtuma mtu mmoja kuzunguka nchi nzima kutatua matatizo ya watanzania hauwezi kufanikiwa!
 
Mbona mnaweweseka sana Jamani kwani Makonda anachofanya si ndio kazi zenyewe za chama cha siasa? Mlitaka akae tuu ndani kule lumumba? Wacha atembee asaidie kuonesha shida zilizopo!

Shida wengi mnaona kama Makonda anachukua point kwa wananchi ndio maana mnajikuta mna mjadili yeye tuu na CCM yake na ndilo walilotaka….
 
Kwahiyo huyo Kimiti ndio anaona Makonda anamzidi point?
 
Kumbe Paul Kimiti bado yupo?! Nimemsikia akizumzungumzia Lowassa kwa undani na amezungumzia mengi kuhusu uongozi wa nchi na wanasiasa. Mheshimiwa Kimiti anasema viongozi wengi hawana misingi ya uongozi na hawana maarifa. Bila kumtaja mtu, Kimiti amesema utaratibu wa kumtuma mtu mmoja kuzunguka nchi nzima kutatua matatizo ya watanzania hauwezi kufanikiwa!
maoni na mtazamo wake wa kushindwa ni mzuri sana, na amejieleza vizur sana kwakweli kwa walioshindwa 🐒

hata hivyo kupanga ni kuchagua, walishafanya yao kwa namna yao lakini kiko wap 🐒

Tumeanza na Mungu, tunatekeleza na Mungu, tunafanikishwa na Mungu na tunasonga mbele na Mungu 🐒

Hatutarudi nyuma, tunasonga mbele bila mbambamba ...

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Kumbe Paul Kimiti bado yupo?! Nimemsikia akizumzungumzia Lowassa kwa undani na amezungumzia mengi kuhusu uongozi wa nchi na wanasiasa. Mheshimiwa Kimiti anasema viongozi wengi hawana misingi ya uongozi na hawana maarifa. Bila kumtaja mtu, Kimiti amesema utaratibu wa kumtuma mtu mmoja kuzunguka nchi nzima kutatua matatizo ya watanzania hauwezi kufanikiwa!
Huu ni usanii wa majukwaani tu kama mazingaombwe
 
Kumbe Paul Kimiti bado yupo?! Nimemsikia akizumzungumzia Lowassa kwa undani na amezungumzia mengi kuhusu uongozi wa nchi na wanasiasa.

Mheshimiwa Kimiti anasema viongozi wengi hawana misingi ya uongozi na hawana maarifa.

Bila kumtaja mtu, Kimiti amesema utaratibu wa kumtuma mtu mmoja kuzunguka nchi nzima kutatua matatizo ya watanzania hauwezi kufanikiwa!
NI UPIGAJI TU BASHITE KAKAA BENCHI MUDA MREFU KAAMBIWA AKATAFUTE PER DIEM
 
Kumbe Paul Kimiti bado yupo?! Nimemsikia akizumzungumzia Lowassa kwa undani na amezungumzia mengi kuhusu uongozi wa nchi na wanasiasa.

Mheshimiwa Kimiti anasema viongozi wengi hawana misingi ya uongozi na hawana maarifa.

Bila kumtaja mtu, Kimiti amesema utaratibu wa kumtuma mtu mmoja kuzunguka nchi nzima kutatua matatizo ya watanzania hauwezi kufanikiwa!
Yeye alifanya nini cha maana kwenye uongozi wake kule Sumbawanga? akae kwa kutulia amuache mwenezi aendelee kupiga spana.

Mzee Kimiti was failed leader hakuna cha maana chochote alichofanya.
 
Kumbe Paul Kimiti bado yupo?! Nimemsikia akizumzungumzia Lowassa kwa undani na amezungumzia mengi kuhusu uongozi wa nchi na wanasiasa.

Mheshimiwa Kimiti anasema viongozi wengi hawana misingi ya uongozi na hawana maarifa.

Bila kumtaja mtu, Kimiti amesema utaratibu wa kumtuma mtu mmoja kuzunguka nchi nzima kutatua matatizo ya watanzania hauwezi kufanikiwa!
Yeye alifanya kitu gani kimiti

Anamiliki mahekalu huko ununio Dar es Salaam

Hawa ndio wezi wakubwa nchi hii

Mbona haishi huko kwao sumbawanga na maskini amejichimbia huko Ununio anakula pesa za watanzania
 
Kumbe Paul Kimiti bado yupo?! Nimemsikia akizumzungumzia Lowassa kwa undani na amezungumzia mengi kuhusu uongozi wa nchi na wanasiasa.

Mheshimiwa Kimiti anasema viongozi wengi hawana misingi ya uongozi na hawana maarifa.

Bila kumtaja mtu, Kimiti amesema utaratibu wa kumtuma mtu mmoja kuzunguka nchi nzima kutatua matatizo ya watanzania hauwezi kufanikiwa!
Matatizo wamesababisha Ccm nchi nzima........wametafuta mtu aliyekuwa hana sifa kijamii eti ndie anasikiliza kero.

Anaacha wanaosababisha Shida kwa wananchi Ofisini kwake anaenda kula Bata mikoani eti anasikiliza kero.
 
Kule chamani kuna afadhari huyu kidogo na hamna msafi kama karatasi,hata huyu Mzee ana makando kando..
 
Mifumo ya uongozi unaoweza kusikiliza na kutatua kero za wananchi si imekufa wakati wao kina kimiti wakiwa ndio viongozi? Anataka zigo la lawama abebeshwe nani wakati yeye ni mmoja wao?
Makonda anakwenda mikoani kuhamasisha uhai wa chama chake. Akiwa huko mikoani, wananchi wanakuja kwake na matatizo lukuki ambayo mifumo ya kuwasaidia kuyatatua iliuawa na akina Kimiti. Sasa hapo kosa la Makonda liko wapi?
Acha Makonda azunguke tu, tena ingefaa aende mikoa yote, ili tuone panapovuja. Labda ccm itaamka toka usingizini na kuamua kuongoza nchi kiuhalisia.
 
Back
Top Bottom