Paul Kagame: Tanzania's own spy

I support you. I always believe the main cause of Congo's uneasiness and killings is my country Tanzania. Kagame na Museveni wamewekwa na serikali ya CCM. Tunacheza ngoma za wakuu wa magharibi. Pia uhusika wetu mwingine ni kupeleka silaha Congo kupitia Mwanza airport (Hubert Sauper's 2004 Darwin nightmare). Watu mmetuita wakimbizi kwa kutojua kwenu na uzalendo wa kijinga

Wewe acha unafiki wakijinga wewe mtusi unajifanya et uhusika wetu kwenda kigali ukaonje jotonya jiwe huko. Tanzania ni nchi iliyokuwa na mkakati wa ukombozi wa bara la Africa ndomana sehemkubwa ya Africa walisaidiwa kimafunzo na kijeshi ilinkuzikomboa nchi na sio ukoloni mambonleo kama hujui hilo
 
kwa maamlaka ya nani mnatoa siri za nchi nyie watu.some of us we heard not knew, but our mouths were shut.hebu tunzeni siri za nchi nyie watu.
 
Sijawahi kusikia Kikwete or Kagame kuzungumzia vita btn these 2 states lakini ukiingia Jf utafikiri kuna makombora yanasubiri amri kuanza kazi...hamna kazi nyie!!

It shows how patriotic we are.
our spirit for war is high and good to go,anytime anywhere.yaani mi mwenyewe hapa damu inanichemka haki ya mungu.cc watz wabaya cc.
 
jokaKuu,
As long as FDLR wataendelea kuwa na free hand eastern Congo itawawia vigumu kurekebisha makosa ya Mkapa na Mandela. Hivi kwa nini Zimbabwe haijachangamkia tenda hii this time? Nasikia ile vita ndiyo ilisaidia kudidimiza uchumi wake haraka. We are playing with fire.

Hebu tukumbushane uhusiono wa Ze Mkapa na silaha za kutumika Congo kama walivyobaini kwenye sinema ya Darwin Night mare Mapaki kama sikosei
 
kwa maamlaka ya nani mnatoa siri za nchi nyie watu.some of us we heard not knew, but our mouths were shut.hebu tunzeni siri za nchi nyie watu.

Mkuu haya hata mimi nilikuwa cyajui lakini ukiona leo kina moshe dayan wana yaweka hapa jua umefika wakati wa kumvua nguo pk.inaonekana vyombo vya usalama vya tz vinamjua kinyume nyume.hii ni tactic moja wapo ya kum nutralize kiakili.
 
Moshe Dayan uko sahihi.. huyu bwana tulimfundisha mambo mengi sana na hayo ndiyo yalimpa mbinu za kumsaidia M7 kuichukua uganda...leo unapomuona amegeuka na kututolea maneno ya ajabu hakuanza leo.....wakati anatoka huko kansas marekani kusoma wakti huo fred rwigyema alikuwa ndio mkuu wa kikosi na kagame msaidizi. ni huyu huyu kagame aliyepanga mauaji ya fred rwigyema baada ya kuona kwamba anakubalika sana na alijua wakiitwaa rwanda ndiye angekuwa rais wa rwanda...

kagame aliandaa mpango mahususi wa kumueliminate fred...na amlimtumia kijana mmoja anaitwa ntanyambire ambaye alikuwa sniper.. kijana huyo akatekeleleza mauaji ya fred...maiti ya fred rwegyima walikaa nayo kwa siri hawa kina kagame kwa mwezi mmoja na ndipo kagame akatoa taarifa kwa M7 kuwa fred rwigyima ameuawa na kikundi cha watu watatu aliowataa kuwa ni Major Peter Bayingana, Major Chris Bunyenyezi na Major Frank Munyaneza .

mseveni alichukia sana baada ya kupata taarifa hizo na hao waliohusika na mauaji ya fred..kumbuka fredi alikuwa rafiki mkubwa sana wa M7 na alimpenda sana...hivyo M7 akamtuma mdogo wake aliyeitwa ally saleh kwenda kuhakikisha hawa watutu waliomuua fredi rwegyima nao wanauawa...majaor ally saleh alitekeleza mauaji hayo kwa mpigo...

baada ya seke seke hilo hapo ndipo kagame sasa akapata mwanya wa kuwa mkuu wa kikosi hadi wakaitwaa rwanda na yeye kuwa rais..

kwa hiyo basi kagame hakuanza leo kudanganya na kusingizia...alimuingiza mkenge mseven kwa kumwaminisha kwamba fred ameuawa na hao jamaa niliowataja hapo juu...lakini ni yeye alikuwa nyuma ya mpango mzima..

ndio tulimfundisha mbinu nying..tradecraft na spycratf kibao..lakini leo anapotuletea dharau hatuwezi kumwacha hivi hivi...
Mkuu huyo mdogo wake M7 ni Salim Saleh au?
 
he was trained well ila na yeye ni kichwa sana, he became very famous in espionage na alikua mtu wa kuingia front kwenye raids with few but skilled soldiers

Waoh! Mzee, you are back! Tulimiss sana vitu vyenu na Jason Bourne. Mi nilidhani jamaa zenu wamewaulia mbali ili taarifa za siri zisitoke.
 
Ok...
Mwambie Kagame aende Hollywood akaigize Kubwa la Maadui..
Kwa CV hiyo uliyoiweka lazima wamchukue
 
nice try

bado vita ya propaganda hamuiwezi...kama kweli alikuwa mtu wenu it means mpaka DNA yake mnayo sasa

why not dump file lake lote la TISS kisha tuone mchele na pumba?


Hakuna kitu hapa

lete intel yenye kueleweka na sio hizi za kuunganisha uunganisha
 
jokaKuu,
As long as FDLR wataendelea kuwa na free hand eastern Congo itawawia vigumu kurekebisha makosa ya Mkapa na Mandela. Hivi kwa nini Zimbabwe haijachangamkia tenda hii this time? Nasikia ile vita ndiyo ilisaidia kudidimiza uchumi wake haraka. We are playing with fire.

..kwa uelewa wangu FIB ina mandate ya ku-disarm all negative forces.

..wameanza na M23 lakini hata hao wengine nao watafuatiliwa.

..Mugabe aliwekewa vikwazo vya uchumi na kijeshi wakati majeshi yake yalipokuwa DRC.

..Waingereza na Wamarekani walikuwa upande wa Rwanda na Uganda ili kumkomoa Mugabe kutokana na msimamo wake wa kutaifisha ardhi ya walowezi wa Zimbabwe.

..Sasa hivi Kagame yuko kwenye position aliyokuwa nayo Mugabe in 1999. Wamarekani na UN hawamuungi mkono ktk uvamizi wake DRC.

..Kagame asipokuwa makini anaweza kuwekewa vikwazo vya uchumi na kijeshi, ikitokea hivyo hataweza kupigana vita ya muda mrefu.
 
dah, kama tanzania imeweza kuwatrain raia wa nje wakafikia kiwango cha juu cha ujasusi, basi watanzania wala msiwe na wasiwasi. Ina maana kuna watanzania kibao wana level ya kagame na hata kumzidi. Sema tu tanzania ni nchi ya amani na kila mtu ana nidhamu kwa mamlaka. Sema inapotokea tunachokozwa basi hapo ndipo inakuwa balaa. Hebu fikiria, tumewezesha nchi za angola, msumbiji, zambia, zimbabwe, namibia, south afrika na nyenginezo kujipatia uhuru. Pia tumeangusha utawala wa idd amini, itashindikana kwa hiki kikaragosi?

msiwe na wasiwasi.................... ATAITWA NA KUPIGIWA SIMU KAMA RAISI WA SUDAN IKISHINDIKANA .........
 
Back
Top Bottom