Paul Kagame: Tanzania's own spy

For the past few months or so, Kagame has been on front pages of Tanzanian minds and thoughts. If the time you use everyday discussing Kagame was spent productively I believe that your GDP would have increased a percentage point. Just thinking out loud.

Unapigana vita ambayo unajua umeishashindwa. Mtawekwa wazi zaidi.
 
Tanzania trained him to be a world class spy, why is he turning against his mentor!? if there are misunderstandings, why cant diplomacy take the first course?? It was 1978 in a secret espionage farm(somewhere in morogoro), paul kagame was recruited, trained and eventually served as our informer and a spy in different top secret missions. why is this killing machine malfunctioning now!? Baada ya kumaliza mafunzo, hata Marekani ilimtambua kwa uwezo wake wa infiltration na counter espionage skills, kiasi kwamba ilimpa nafasi asome command and general staff college huko Kansas. PK Akiwa na Yoweri Museveni, Obote, Okello, Oyite Ojock, Yusuf Lule, Fred Rwigyema na majasusi waliokubuhu wa Tanzania, walikutana kwa siri Kilimanjaro, mwaka 1979,in a secret meeting called THE MOSHI CONFERENCE na kuunda "KIKOSI MAALUM" kilichotangulia na baadhi ya majasusi ndani ya Uganda kuendeleza insurgency covert operations wakati majeshi ya TPDF yakisonga mbele. Hii timu ilikua pia na David Sejusa Tinyefunza, jasusi kuu la Uganda(SPY CHIEF) aliyepishana kauli na M7 na kuamua kukimbilia UK.Tanzania made them what and who they are now, powerful and intimidating.Timu hiyo ilifunzwa unprecedented guerrilla tactics kama tulizowafunza wenzetu wa kusini mwa Afrika na ndio maana PK akiwa bega kwa bega majasusi wenzetu na Fred Rwigyema ambaye aliuwawa kwenye battle waliweza kuingia hadi Kigali kwa kupitia Uganda Virunga Mountains baada ya kutumikia UPDF kama security chief wa M7.A "cold war" highly fueled by media should be stopped and let the old memories flourish.If we had same belief or ideology, why should we differ now..???
Moshe Dayan,

..umesahau Bin Laden alivyowatenda USA??

..kuna wengine wanabisha, lakini ukweli utabaki kwamba tulikosea kutoku-support ile mission ya SADC ya 1999.

..tungesimama upande wa Zimbabwe, Angola, na Namibia, wakati ule, hali isingekuwa mbaya kiasi hiki Congo.

..wacha JK na Zuma warekebishe makosa ya Mkapa na Mandela/Mbeki.

cc Ogah, Jasusi, Nguruvi3
 
Last edited by a moderator:
de'levis, long time no see.., turudi kwenye mada, ntakuja na topic jinsi rwegyima alivyouawa na jinsi siku alipoenda front ilikuaje rpg zote za unit yake zili-miss fire, ndipo utajua kagame tulimuivisha kwenye espionage

Naisubiri kwa hamu hiyo topic. Pamoja sana mkuu.
 
Swali la msingi ni kwanini Kagame na Museveni (na hata Rais Banda) bado wanamheshimu marehemu Baba wa Taifa lakini wanamdharau Kikwete? Swali jingine linalohusiana na hilo ni kwanini IWE SASA wakati wa utawala wa Kikwete na si zama za Mkapa au Mwinyi?
 
Lol. watch this space. Usikimbie lakini


baba yenu anawahadaa na kuwatumikisha pasipo kujua...tutawasaidia mjue kuwa mnatumikishwa...tabia yake tunataka ikome na ITAKOMA...angekuwa anachofanya ni halali ndani na nje ya rwanda sasa hivi asingekuwa anakimbia kimbia na kuhama hama hasa nyakati za usiku na halali sehemu moja...

au na wewe murutongore tukudunge ''truth serum'' kama mmoja wenu aliyekuwa anatumiwa na baba yenu na akamwaga kila kitu hali iliyopelekea baba yenu anaishi kama digi digi hasa nyakati za usiku mpaka sasa?
 
Last edited by a moderator:
I don't think Museveni and Kagane were "planted" by Tanzania. What Tanzania did was to train them to liberate their own countries which they did. Tanzania and DRC are free countries. DRC is internationally entitled to acquire some armaments and transport them to their country.

did they get rid of the whites (colonialists) or africans? If africans our country is to blame
 
....! Hata aliposikia Nyamwasa anataka kwenda UK kusoma command and staff college roho ilimuuma na kumuuliza iweje aende shule na huku vita inaendelea Congo.....ambapo Nyamwasa alimjibu mjumbe wake kuwa "mwambie Paul asiwe na wasiwasi najua hata nikurudi nitakuta vita inaendelea......!"

Dah! Kwetunikwetu hii kauli ina maana pana sana
 
Last edited by a moderator:
I somehow beg to differ. Kabila is the president of an independent country called DRC and he has the obligation to protect it according to the oath he took as president. Kabila does not have an interest in DRC, he is the DRC itself! All the others you have mentioned are intruders.

also the president who hosts FDLR na makundi mengine yanayoshambulia Rwanda. The same president who took oath to protect the Congolese ndo kawakataa wakongo wenye asili ya kitutsi akisema ni warwanda. Kama ambavyo baadhi ya wahangaza wa ngara walivyoitwa warwanda na Kikwete
 
Back
Top Bottom