Patrobas Katambi wa CHADEMA, atekwa akirudisha fomu ya ubunge Shinyanga Mjini

Status
Not open for further replies.
Yale yale ya kujifanya wametekwa ili CCM ipite bila kupingwa.Muda si upo mwingine apeleke form
 
Mgombea wa CUF au NCCR achukue fomu haraka na kurudisha haraka sana kwaajili ya Tahadhari.

Hizi rafu zitaonekana sana mwaka huu, Na kwakuwa kutakuwa na wagombea wawili tu wa ccm na UKAWA, Sehemu nyingine unabidi wajipange sana kwaajili ya hujuma kama hizi na zingine nyingi.

BACK TANGANYIKA
 
Makamanda naomba muizingire hiyo ofisi ya Tume wilaya hakuna fomu itakayopokelewa leo,hakuna kinachoingia wala kutoka mpaka ijulikane hiyo form iko wapi.
 
Rafu zimeanza mapema!

Pia kuna uwezekano wa watu kununuliwa na kuhujumu upinzani hivyo jambo hili lichunguzwe.

Mwaka huu kuna kununuana sana.
Ukishavuta mkwanja laumu adui yako.
Kuna uzi mmoja uliongelea mpango wa kuwaweka wagombea chini ya ulinzi
 
Mgombea ubunge jimbo la shinyanga
mjini mh patrobass katambi
na m/kiti bavcha taifa,
inasemekana ametekwa mda mfupi
uliopita na kinyang'anywa fom zake za
ubunge
nimezungumza na mwenezi wa jimbo hilo
na kuthibitisha hilo
lkn pia sim ya mgombea haipatikani
...

Nimeongea pia na Mbunge Rachel Mashishanga sasa hivi na kuthibitisha hili

Anatekwa amefanya nini?
 
Duh hii hatari ila naogopa isje kuwa kama yule mgombea wa serikali za Mitaa Mlalo Lushoto mwaka jana aliyenunuliwa na kujifanya ametekwa hadi muda wa kuridisha form ukapita. MANI sipo online kule kwenye group. Hizi taarifa zina ukweli kiasi gani?

Nimeziona lakini wanadai original anazo copy ndio wamechukua!
 
Last edited by a moderator:
Yale yale ya kujifanya wametekwa ili CCM ipite bila kupingwa.Muda si upo mwingine apeleke form

ataitoa wapi form ya kurejesha?....
hapa kuna mchezo amecheza,utatekwaje,tena siku ya kurudisha form ambayo hutakiwi kuwa pekee yako,wala kupita maeneo ya hatari
 
Makamanda naomba muizingire hiyo ofisi ya Tume wilaya hakuna fomu itakayopokelewa

leo,hakuna kinachoingia wala kutoka mpaka ijulikane hiyo form iko wapi.

Tycoon
Unaelewa maana ya kuzuia wagombea wa vyama vingine wasirudishe fomu? Hii haina tofauti na hao wanaotuhumiwa kuteka wenzao
Siku ukikuta umezuiwa kurudisha fomu ndo utaelewa mziki wake
 
Mgombea wa CHADEMA mhe Patriobas Katambi ametekwa asubuhi hii saa mbili. Watengaji waligonga gari lake kwa nyuma na ndipo aliposhuka. Baada ya kushuka watekaji walimkamata. Lengo lilikuwa ni kuchukua fomu zake. Sasa tupo polisi. Tunamshukuru Mungu hawajamuzuru. By Katibu wa Mkoa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom