Mgombea ubunge jimbo la Shinyanga mjini na m/kiti BAVICHA Taifa, ndugu Patrobas Katambi inasemekana ametekwa muda mfupi uliopita na kunyang'anywa fomu zake za ubunge.
Nimezungumza na mwenezi wa jimbo hilo na kuthibitisha hilo lakini pia simu ya mgombea haipatikani.
Nimeongea pia na Mbunge Rachel Mashishanga sasa hivi na kuthibitisha hili.
Patrobas Katambi katika Picha

Wakuu,
Ni kweli tukio limetokea mapema leo hii, lakini "wavamizi" hao wameondoka na copy. Na si original form.
Mpaka sasa napoandika, saa 7 mchana. Tupo hapa ofisi za mkurugezi Jimbo la Shinyanga mjini. Tunarudisha fomu na zimepokelewa.
Mapambano yanaendelea...