Pata website ya kampuni kwa bei ya punguzo

Djresha

Member
Sep 6, 2016
20
1
Katika Dunia ya sasa, kuwa na Website si jambo a kujiuliza mara mbili, mfanya biashara yoyote aliye makini na biashara yake ni lazima awe na Website. Kuwa na Website siyo tu kutakufanya kuwafikia watu wengi zaidi ya walio kwenye uzio wako, bali pia huongeza thamani ya biashara , kwani mtazamo wa watu huwa chanya zaidi pindi unapokuwa na Webste au Email, huonekana upo makini na unachokifanya.

Tumekuwa tukipokea maombi mengi ya kutaka kutengenezewa Website (Website Design), na baada ya uchunguzi tumeona kuna kundi ambalo inawezekana liliachwa kutokana na gharama kuwa nje ya uwezo wao. Hivyo, Kazisoft tukiwa kampuni inayoongoza kwenye Website design in Tanzania, tunakuletea ofa kwa ajili ya Website Design, Webste Hosting, Domain Registration na huduma nyingine. Ofa hii ni kwa ajili ya makampuni madogo na ya kati yaliyo Tanzania.

Pata Webiste kwa bei ya 200,000TZS tu huku ikijumuisha;

  • Full Responsive Website
  • 15 Business email
  • CMS to manage your website
  • IT Business Consultation
  • Search Engine Optimization (SEO)
  • 1 Year Web maintenance
  • 2GB website & email Hosting
  • Full Cpanel Access
  • Web Analytic
  • Website & Email backup


Kama upo Interested, tuandikie info@kazisoft.com au Tembelea Kazisoft.com

PHONE> 0764136922, 0653435142
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom