Pata uwakala wa Airtel Money hapa

networker

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
570
215
kwa anetaka uwakala wa airtel
money piga hizi namba
0717474257 (usishangae namba ni
ya tigo .mi nimeajiriwa .hvyo
naendelea kutumia namba yangu ya
tigo though workng 4 airtel) .kinacho itajika ni copy ya
leseni ya biashara , kitambulisho Tin
namba na barua toka kwa mtendaji,
bei ya kuanzai kufungua account
yako kama wakala ni 3000 kwa
biashara ndogo na 300000 kwa biashara kubwa. wakala analipwa
kwa kamishen ya 200 kuweka na
250 kutoa kwa kichwa kimoja / kwa
mteja moja.hii inamana ukipata watu
100 kwa siku unazidisha 100 mara
200 au 250 inakuwa ndio kamishen yako kwa siku ukipata watu 50
unazidisha tu unapokea kamishen
yako .zingatia hyo kamishen sio
fixed mteja akichukua au akiweka
hela kubwa kamishen ina ongezeka
sawa sawa na kiwango cha hela ya mteja. Hyo 200 na 250 ni kwa
kiwango cha 900 hadi 4999
 
Si ulishaletaga hili tangazo hapa kabla?
Unatujazia saver bana!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom