Pata Simu kali kwa bei nzuriii. ( best smartphones @ affordable price)

Habari Wakuu, mzigo mpyaa umeingia. Pia Aksanteni sana wateja wangu hasa wa mikoani ambao tupo pamoja mpaka sasa, na mnaonisapoti Vunja Bei kwa kununua bidhaa zangu za smartphones na zaid kwa kuniunganisha na wateja wengine, nawashukuru saana....tupo pamoja! Pia ile offer ya glass protector imerudi tena, kwa wateja wangu wote watakaonunua cm kwangu msimu huu watajipatia glass protector au cover au vyote kwa pamoja bure kabsa.

Karibuni saana ndugu.
 
Uweakage na picha basi
1475243780561.jpg
1475243790812.jpg
1475243806959.jpg
1475243731029.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom