Pata Simu kali kwa bei nzuriii. ( best smartphones @ affordable price)

Vieloon

JF-Expert Member
May 5, 2012
1,520
694
KWA KUWAJALI WATEJA WANGU NA KWA KUZINGATIA HALI YA UCHUMI ILIVYONGUMU KWA SASA VUNJA BEI MATELEPHONE NIMESHUSHA BEI YA SIMU:

Sasa utajipatia smartphones za kisasa, Originals tu kwa punguzo la zaidi ya 35%.

NJOO TUWEZESHANE: Ujipatie Simu kali yenye ubora na mie nipate kafaida kidogo maisha yaendelee.
Mzigo unaingia kutoka S.A kila week, Simu zote ni mpyaaa, Original 4G Lte na vifaa vyake, na ni Guaranteed. Ikitokea ikakusumbua unarudisha unabadilishiwa japo haijawahi tokea simu zetu kusumbua.

# bei zangu ni za chini kabsa kuliko popote pale Dar es Salaam, Pia simu ni original na mpyaa na accessories zake zote.

Mfn:
Sony xperia z3, 16GB@550k
Sony Xperia M4, USA version, 16GB @ 500k
Sony Xperia z5, 32GB @800k
Sony Xperia z5 Premium, 32GB @1.1mil

HTC One M8, 32GB @ 500k
HTC Desire Eye, 16GB @600k
HTC One M9, 32GB @700k

Huawei P8 lite, 16GB @ 400k
Huawei P8, 16GB @ 600k
Huawei P9 lite 32GB@650k
Huawei P9 64GB @ 1mil
Huawei Mate 7 32GB @600k
Huawei Mate 8 64GB @950k
Huawei Mate S 64GB @800k
Huawei G8 32GB @750k

LG G3 32GB @ 450k
LG flex 2, 16GB @600k
LG G4 styles, 16GB @650
LG G4 leather backcover, 32GB @650
LG G5 @950k

Iphone 6, 16GB @950k
iphone 6 plus, 16GB @1.2mil
iphone 6s 16GB @1.1mil
Iphone 6s, 64GB @1.4mil
Iphone 6s Plus, 16GB @ 1.4mil

Samsung S5, 16GB @450k
Samsung J5, 16GB @400k
Samsung A5, 16GB @450k
Samsung J7 16GB @500k
Samsung A7 16GB @600k

Samsung S6, 32GB @700k
Samsung S6 edge, 64GB @950k
Samsung S7, 32GB @1.1mil
Samsung S7 edge, 32GB@ 1.35mil
Samsung S6 edge plus, 32GB @1.2mil

Samsung Note 3, 32GB @ 500k
Samsung Note 4, 32GB @ 700k
Samsung Note 5, 32GB @ 1.1mil
.......etc.....
Hizo ni baadhi tu, kuna simu nyingi tofauti tofauti had za bei ya chini kabisa km Galaxy J2, Note 1, S4 na xperia z,
Pia nina TABLETS, laptops, PROJECTORS, original GLASS phone PROTECTORS, classic MOBILE CASES, covers, IPADS, original FAST CHARGERS na mobile BATTERIES.

[HASHTAG]#OFFICE[/HASHTAG] IPO Kariakoo karibu na Mataa ya Uhuru, kwa ajaye Dukani ukifika kariakoo piga namba 0654776976 utaelekezwa vizuri na kupokelewa .. Pia kwa Mteja wa hapa Dar es Salaam ukihitaji unaletewa hadi mlangoni ila kwa wale wa mikoani tunawatumia kwa basi.
Kwa mawasiliano na maelezo zaidi tumia 0654776976. Unaweza kubeep, kupiga, kutuma text au whatsapp. au wasiliana nami kupitia email:vieloon@gmail.com
 
Wew bwana huwezi pata wateja yani note 3 500k wakati mie nmenunua mpyaaaa 350k...huu ni ukichaaa
Mpyaaaaa.....heh heh heh nyie ndio mnauziana cm za wizi! Au used mnabadilisha housing...emb waambie watu humu umenunua hiyo mpya kwa 350k wapi nao wakanunue!!!! Sio kuongea tu ili mradi nawe uongeee kisa huna hela ya simu.

ANDIKA HUMU HILO DUKA ULIPONUNUA GALAXY NOTE 3 YENYE 4G KWA 350K AU HATA AMBAYO HAINA 4G NA SISI TUKANUNUE!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom