utanyolewa wewe kutwa nzima na hata maliza!!!Uzuri siku hizi kuna vinyozi wanawake pia hivyo nampa kinyozi mwanamke ale kichwa fasta
mikono yaweza pata mimba mazee.hahahahaha sina mbavu
Kwani hapa nini cha ajabu, mbona sisi akina mama hivyo vichwa tunakutana navyo kila siku na hatushangai?Kichwa hcho
Laima atalamba koni kwanza kabla ya kunyoa.Uzuri siku hizi kuna vinyozi wanawake pia hivyo nampa kinyozi mwanamke ale kichwa fasta
Mzee wakubadili avatar upo.hahahahaha sina mbavu