Hii hali huwa inasababishwa na nini, au ni uchawi?

Twinawe

JF-Expert Member
Oct 3, 2016
2,363
5,110
Kuna hali uwa inanitokea wakati nimelala sijui uwa inasababishwa na nini uwa natafakari sana na kukosa majibu.

Kuna wakati naweza kua nimelala unasikia kama umebanwa unatamani kujitingishwa huwezi,kuongea huwezi kunyanyuka huwezi afu inapotea unarudi katika hali ya kawaida.

Leo usiku imenitokea tena nashindwaga kuelewa ni kitu gani au jinamizi.

Mara nyingi nikipatwaga na hii hali uwa nakiri jina la Yesu na kukemea kimoyomoyo ndo hii hali uwa inaisha sababu uwezo wa kufungua kinywa au kujitingisha uwa nakosa.

Usiku wa kuamkia leo niliona kama mkono wa mtu kabisa uliokua anapambana na mimi kunishikilia kichwa ila baada ya kukiri jina la Yesu umeshindwa.

Kuna siku ilitokea nilikuta nguo zangu nilizovaa kazini zimehamishwa sehemu nilikoziacha na kuchukua pesa zangu ndani manake ni kama niliibiwa.

Nimepatwa na hii hali tena usiku wa kuamkia leo nimeua nyoka nje na ndani kwangu.

Naomba kuuliza hili jambo nanyinyi uwa linawatoekea? Je, lina uhusiano na uchawi au nguvu za giza?
 
Mkuu! Una umri wa miaka mingapi? Au ndo wale mnaojidanganya hakuna uchawi! Sasa huo ndo uchawi live! Kwa ufupi mwili wako wameishaunyongonyeza kiasi cha kumpa fursa mchawi kukukaba na mikono yake michafu na pengine kukunajisi! Kitendo hiki kitapelekea kukataliwa na mwisho umasikini. Hadi unaibiwa hela mfukoni! Kwa imani ndogo ya kuliitia jina la Yesu nakushauri uokoke!
 
Inategemea...

But kuna kitu kinaitwa SLEEP PARALYSIS ndio ww unakumbana nayo, yaan ubongo unaamka (unakuwa active) ila mwili unakuwa bado haujaamka au haujapokea taarifa kutoka ktk Ubongo.

Hali hii utaweza hisi uchawi na mambo mengine ila ni swala la kawaida, and sometimes unaweza hisi ushakufa tyr maana kuna wengine hudumu hali hiyo kwa muda wa dk moja au zaidi.
 
1Jitahidi jioni uwe unafanya mazoezi walau utoe jasho ili mwili uwe active endapo sleep paralysis inapokutokea basi na mwili uwe active.

2.Jinamizi acha kulala uchi na ukiwa mchafu kisha
Oga maji yenye
1.chumvi mawe
2.Msaka uchawi.
 
Kuna hali uwa inanitokea wakati nimelala sijui uwa inasababishwa na nini uwa natafakari sana na kukosa majibu.

Nimepatwa na hii hali tena usiku wa kuamkia leo nimeua nyoka nje na ndani kwangu.

Naomba kuuliza hili jambo nanyinyi uwa linawatoekea? Je lina uhusiano na uchawi au nguvu za giza?
Wamekutumia mashetani kupima imani ukaombewe na Manabii feki au ukaaguliwe kwa Waganga wa kienyeji. Mwamini Mungu ule mema ya nchi.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu! Una umri wa miaka mingapi? Au ndo wale mnaojidanganya hakuna uchawi! Sasa huo ndo uchawi live! Kwa ufupi mwili wako wameishaunyongonyeza kiasi cha kumpa fursa mchawi kukukaba na mikono yake michafu na pengine kukunajisi! Kitendo hiki kitapelekea kukataliwa na mwisho umasikini. Hadi unaibiwa hela mfukoni! Kwa imani ndogo ya kuliitia jina la Yesu nakushauri uokoke!
Umri wangu miaka 28
 
Inategemea...

But kuna kitu kinaitwa SLEEP PARALYSIS ndio ww unakumbana nayo, yaan ubongo unaamka (unakuwa active) ila mwili unakuwa bado haujaamka au haujapokea taarifa kutoka ktk Ubongo.

Hali hii utaweza hisi uchawi na mambo mengine ila ni swala la kawaida, and sometimes unaweza hisi ushakufa tyr maana kuna wengine hudumu hali hiyo kwa muda wa dk moja au zaidi.
Je inaweza mtokea mtu yeyote au ni ugonjwa kama magonjwa mengine au ni udhaifu katika mfumo wa utendaji kazi wa mwili
 
1Jitahidi jioni uwe unafanya mazoezi walau utoe jasho ili mwili uwe active endapo sleep paralysis inapokutokea basi na mwili uwe active.

2.Jinamizi acha kulala uchi na ukiwa mchafu kisha
Oga maji yenye
1.chumvi mawe
2.Msaka uchawi.
Ahsante mkuu
 
Duhh umenishangaza sana, unajua kabisa hiyo hali inasababishwa inapotokea sleep paralysis, then unakuja tena unamwambia asilale uchi mara jinamizi.
 
Mkuu! Una umri wa miaka mingapi? Au ndo wale mnaojidanganya hakuna uchawi! Sasa huo ndo uchawi live! Kwa ufupi mwili wako wameishaunyongonyeza kiasi cha kumpa fursa mchawi kukukaba na mikono yake michafu na pengine kukunajisi! Kitendo hiki kitapelekea kukataliwa na mwisho umasikini. Hadi unaibiwa hela mfukoni! Kwa imani ndogo ya kuliitia jina la Yesu nakushauri uokoke!
Wewe ni muongo sana either umerithi upuuzi
 
Duhh umenishangaza sana, unajua kabisa hiyo hali inasababishwa inapotokea sleep paralysis, then unakuja tena unamwambia asilale uchi mara jinamizi.
Anyway kwa sababu wewe ni mtoto wa kike sina haja ya kukushanga ulivoshangaa nilichoandika..
Nadhani huenda hujui maana ya kuandika hizo namba.
Wakati mwingine kumuelekeza mtoto asie elewa mambo ni ngumu unamwacha kwanza akikua ataelewa .
So nadhani ukikua utaelewa tu tatizo ni umri wako.
 
Hapo hakuna Cha sayansi Wala Nini huyo ni mchawi anapenda kuja kukuchezea Tena ni mchawi wa kike,

Hiyo hutokea hivi usiku wa manane ukiwa bado unausingizi mzito ndipo huja yaani wewe unakuwa umechoka kitendo Cha wewe kuhisi kitu kimeingia ndani ndipo wewe hupoteza nguvu zote anakufanya atakavyo

Namna ya kumdhibiti bila kutumia madawa Wala Nini fanya hivi wewe utaona Kama ni ndoto lakini ni kweli huyo ni mwanamke wa makamo pengine wewe ni mchoyo hupendi kusaidia hata majirani ndo maana wanakuja kukuchezea mtu akiwa anadhida msaidie muache uchoyo

Basi utakapolala uwe standby hasa masaa ya saa Tisa au nane usiku ukiona kitu au kuhisi kimeingia ndani nyoosha mkono haraka uwe Kama unakamata mtu utahisi umemshika hakikisha usimwachie hatorudia Tena

Kwa sababu yeye akishhaingia ndani tu wanapuliza Yale madawa yao ambao wewe hata kunyoosha mkono huwez Kwa hio ujitahidi ukihis tu kitu kimeingia ndani kaa chonjo
 
Back
Top Bottom